MISTARI YA WIMBO HUU

Kama mziki umerudi nyumbani
Kama mapenzi chumbani
Eh ee eh unanipa mi confidence
Confidence we confidence
Unanipa mi confidence eh ee
Unanipa mi confidence
Confidence we confidence
Unanipa mi confidence eh ee

You so nice you so fly baby nakupenda tu
You so good feel good demu unanata kishenzi
Pekee unanipenda tu
Unaifanya my dream come true
Pekee unanipenda tu
Unanifanya my dream…
Mh mh mh coming true baby
Me tamu kwa parley people feel I’m kingpin
Shake your body tila lila tin tin
Tinta nana tila lila ling ling
Tila lila ling ling

Kama mziki umerudi nyumbani
Kama mapenzi chumbani
Eh ee eh unanipa mi confidence
Confidence we confidence
Unanipa mi confidence eh ee
Unanipa mi confidence
Confidence we confidence
Unanipa mi confidence eh ee

Tell me whatchu need sema kitu unataka
Sorry for what I did sahau yalopita
My love when I’m in need mwingine sijapata
And if you just follow my lead
Together we can proceed
No doubt we can succeed hakuna matata
Hey maa njoo tule bata tuvuke mipaka
Weekend moja Mombasa ama kama utataka
Au tuka-chill Tabata hakuna mashaka
Sitaki upate tabu ndo kitu nataka
Mi nataka ujisikie kama mrembo wa mwaka

A City in a house
Umenipa sura ya hela
Najisikia huru free ka Mandela
Chaguo sahihi sikujitela
Confidence culture ndo hii bendera (Weusi)
Mwanamke una mipango huna mapenzi ya bundle
Unafikiri kimaendeleo kwa kila jambo
So mi siwezi kuwa maziwa mgando
Nime-note hii shori no p
Mama la mama mama ake king Loki
Ingiwa Joh Makini ni star time hii
Huna zile “baby hujani-post IG”
“Baby bila Brazilian hair round hii”
“Baby umenitoa picha yangu FB”
Nikiwa sina nikiwa nacho (comfortability)
Nalala usingizi silali macho (comfortability)
Hata kama siingizi unalala nacho (comfortability)
Maisha huigizi ndo kitu ambacho (comfortability)
Mtoto smarter Joh ni smarter
Vile wanijali yaani sina utata
Watoto unipe  watoto smarter
Unikamilisha umenibadili status

Na kama muziki umerudi nyumbani
Na kama mapenzi ni chumbani
Eh ee eh unanipa mi confidence
Confidence we confidence
We confidence (nipe nipe mama)
Confidence confidence

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU