MISTARI YA WIMBO HUU

Uko ndani ya Carni na ashu mfukoni
Sema (da da da di da)
Umezusha na makarao wamekurusha ndani
Sema (da da da di da)
Umeingia K1 na mini pack za Safari
Sema (da da da di da)
Imefika che wasee kwa Beemer na wee mathree mpaka mtaani

Saa sita sasa kumefika tena nina hamu ya kuburudika tele
Kila korna kila side naona marafiki kweli wamepiga makelele
All i really need is to make her my date
Find a little gal who be looking at my way
Nikamwona mmoja amesimama pale
Kaja kuniuliza eti samahani
Scuse me rude boy
Sasa wee niaje
Can i get your name
Don’t you know I’m wyre
Rude boy official lemme make you ire
Get you hypnotized and make you follow my way
Haya basi
Nikamshika mkono tuende dance floor
Bila kuleta shida akani-like more
Kila mtu ana wake wake
Yule hana wake shida zake zake
Salsa lingala from techno to ragga
Zote tulicheza mpaka jasho tukamwaga
All of a sudden feel a tap on me shoulder
I turn around to check who messin me slow jam
Kamwona mtu mwenye sura kama jitu
Macho ya hasira kama amevuta kitu
Oh no baby gal never said she got a boyfriend
Him bigger than holyfield or mike tyson
Basi mkononi ameshika chupa
Naye bila shaka ye akautupa
Upande nikaruka mimi nikavuka
Nikajificha mbali kabla vita haijazuka

Uko ndani ya Carni na ashu mfukoni
Sema (da da da di da)
Umezusha na makarao wamekurusha ndani
Sema (da da da di da)
Umeingia K1 na mini pack za Safari
Sema (da da da di da)
Imefika che wasee kwa Beemer na wee mathree mpaka mtaani

Si nilikupa soo mbili
Pewe toti za badicardi baridi
Na change si kamili
Dame amekung’aria mini na ndani hana any
Hadharani utasema nini
Naskia kunyora
Choo ziko wapi
Ati nini
Mi nina tikiti ya viti mbili
Na risiti
Na madame na matiti
Sasa vipi
Sare moja
Hakuna diambo
Ndani ni kismati
Ntachora mchoro
Na si vako za mapako za tobacco
Na mwako
Wapi dame yako
Arudi home kivyako
Au sio
Waiter
Hiyo nare
Wyre niko ire
Nishikie ndiary na walenje
Niko hapa nje… hapa nje
Nanyora sorora wakora wa kupora
Na manjora wa kuora kuwa sober
Angalau makarao nao wanataka zao
Hata ka si hivyo mi nitajiblao blao
Ni ma-gun zinakam what a gwan man
Mr. Gunman mr troublesome man
Mi don’t want none
Mi don’t want none of that man
So calm down man

Uko ndani ya Carni na ashu mfukoni
Sema (da da da di da)
Umezusha na makarao wamekurusha ndani
Sema (da da da di da)
Umeingia K1 na mini pack za Safari
Sema (da da da di da)
Imefika che wasee kwa Beemer na wee mathree mpaka mtaani

Mfukoni niko na soo tatu na nare
Mpango ni kufika huko super soul sare
Kabla hapo nipitie shada kawangware
Huku nikamate mini packs za safari
Saa tatu na nusu lo
Mfukoni niko na soo
Bamzi wyre na jerry d at my door
Oh no
Nitawa-show nimemaliza chapaa zao
Kutoka show
Hatuna ride
Dinga ya matha city council wamei-tow
Walipofika wakaanza kuzusha
Wewe chapaa zetu umeturusha
Ah kula kokoto
Kufika hanye na mabeemer kila siku ni ndoto
Hapa ni strictly msoto
Jitulize mtoto
Twende carni bila dough tujifanye tunaota moto
Poa basi
Tukafika hadi mathree
Tukafikishwa carni mpaka mlangoni
Bouncer kiplani plani akatuseti bure mpaka ndani
Si utani yani
Sasa ni kusanya kichaka
Kuna nani
Wasee wakiwa chakari
Pesa zao wanazitoa na amani
Mazee hapa
Kitu cha kufanya ni kuwasha blaze
Una nare?
Wazi

Uko ndani ya Carni na ashu mfukoni
Sema (da da da di da)
Umezusha na makarao wamekurusha ndani
Sema (da da da di da)
Umeingia K1 na mini pack za Safari
Sema (da da da di da)
Imefika che wasee kwa Beemer na wee mathree mpaka mtaani

Si siri
Ni soul nite na sina any
Nada flip yo even a penny
Luck struck i got a ride from dj watene
He wants chapaa for ngata wacha nipenye
Ndani slip quick side ya gizani
I approach kujificha kiplani plani
Safari tuck close like oh
I got blaze mazee like woah
E-yo ni kubaya
Niko waya
A sock bila
Nika jichanua hapo nyuma ya pillar
Kweli kweli on the real-a
Hadi nikasunda kama chupa mbee kwenye tray za tequila
All of a sudden dame fulani akanimada
Ana lips biggy makeup mob hata kipara
Shortly akaanza kunidara
Kunipiga tere za hizo chupa aliniona nikisanya
Mazee mbona unani-sweat i just wanna party
Kiuno and have a barley enjoy the hanye
Once in a while i lit a pack of embassy lights
E-yo and have a zale
Eye candy sare
Kutoka hapo hadi kichaka
Naz wyre jerry d wako hapo wakiwaka
Mpaka che kweli mimi na wee tumedata
The common factor
But it don’t matter

Uko ndani ya Carni na ashu mfukoni
Sema (da da da di da)
Umezusha na makarao wamekurusha ndani
Sema (da da da di da)
Umeingia K1 na mini pack za Safari
Sema (da da da di da)
Imefika che wasee kwa Beemer na wee mathree mpaka mtaani

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI