MISTARI YA WIMBO HUU

I am looking she is looking
I love the way she work it
She is grinding I am grinding
I love the way she is working it
Danger
Danger
Danger
Danger
Hatari hatari

Groupies wapo tena lukuki
Wapo cute zaidi yako unaweza sema mie ni mzushi
Laini kama sufi ngozi yako maufundi yako
Sina budi kuja kwako mwenzako nakuomba urudi
Sijala tangu juzisiwezi lala bila movie
Kama Fala umeniconfuse mie wala hata sina chuki
Suti hizo hapo kama ni harusi ndo unataka
Haujuti mie ni rapper hapa napata saluti
They shoot “PAAAH” I made you look
Sio love letter ni love song kwenye rhyme book
FidQ sio mtu wa juu kwa juu as you see
I can’t leave so I do love you

I am looking she is looking
I love the way she work it
She is grinding I am grinding
I love the way she is working it
Danger
Danger
Danger
Danger
Hatari hatari

I see it in your eyes
That you are the freaky type
Looking at the way your body moves
Got me in the corner of avenue
And now am thinking you some
Maybe suit got me in the corner grinding too
I do I do I do
I do the way that you move

Kama za Chinese Chiwawa hizo kucha
Upo sawa mzuka Mama
Umenivuta sana nimepagawa nitakupa flowers
Napenda jinsi we Binti ulivyo Mtulivu
Msikivu sio mvivu
Mzabibu nikinge Bandidu nisife kwa Wivu
Hakuna nitakachoguna sana itaniuma ukinuna
Nitajituma mie Msukuma kunichuna mama sio ishu
Upo sweet zaidi ya Ndizi za Kiabakari zaidi ya sukari
Zaidi ya asali na una figure flani kali

Mkulima akimeza mbegu jembe halikosi mwenyewe
Nahisi niliumbwa ili unipende yaani sio lazima unielewe
Naweza toa lakini mimi nisipewe
Mimi ninaweza taka kukuoa kwenu wakakataa usiolewe
Haujali kulala ghetto au kuzishampoo hizi Rasta
Kama dansa wa Loketto juu ya FidQ unavyokata
Upo na mimi ‘chill’ usilete usumbufu
Na wasikutishe kwa Vimini tayari ushanivisha Vicheche Proof
Ulivyonitega ili kuonyesha hisia zako
Nitakupenda zaidi ya unavyojipenda zaidi ya Mbwa wako
Nasinzia nikikuwaza japo we sio Wahu
Nakufikiria fasta moyo unakimbia kama Babuu
Nasikia siku hizi mapenzi hayaendi bila Cash
Hata kama ukimpenda mtu kama hana kitu usimuonyeshe
Na wenye nazo hawajatulia
Wanawakatia mikwanja wanawatumia wanawaacha wanawakimbia

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU