MISTARI YA WIMBO HUU

Hahahah
Yeah
I know you miss me
I miss you too

Baby what a gwan
You’re my only man
Najiona na-go deep mwingine simtamani
Baby what a gwan
You’re my only man
Najiona na-go deep mwingine simtamani
I’m so deep inlove with you
Moyoni mwangu ni wewe tu
I’m so deep inlove with you
Uniheshimu usinidharau
I’m so deep inlove with you
Moyoni mwangu ni wewe tu
I’m so deep inlove with you
Inlove with inlove with you ohoo

Kipi unajiuliza ufanya nifurahi
Waja lini mpenzi njoo unipe
I want you too all for me alone
Njoo unipe njoo unambie
What can you do to do for me
What can you do to do for me
What can you do to do for me
What can you do do do for me

Siwezi kudanganya mwisho wa siku nikuache
Maana najua pole na hongera ‘asante’ ndo jibu lake
Macho yakitamani moyo husema hisia zake
Mdomo hujivika ujasiri wa kutatua tatizo lake
Siwezi kukupa mavumba
Ila naweza kupa moyo wangu uko wazi karibu njoo upange chumba
Nishakufanya wa special na sitaki tena mitumba
Binadamu wote wadogo ikiwa kubwa ni nyumba
Sitokaa mbali ya macho yako
Siwezi kutapeli hisia zako
Siwezi kukana mbele ya shoga zako
Siwezi kukuacha uishi peke yako
Ila naweza kuwa benki nzuri ambayo utaitunza penzi lako
Ukiacha zako ujanja ujanja ukiacha skendo
Kila mwenye roho mbaya sio kwamba haujui upendo
Fikiri kabla ya tendo kisha fata utachohisi
Ila tambua kupata usichotaka ni rahisi

Kipi unajiuliza ufanya nifurahi
Waja lini mpenzi njoo unipe
I want you too all for me alone
Njoo unipe njoo unambie
What can you do to do for me
What can you do to do for me
What can you do to do for me
What can you do do do for me

Baby what a gwan
You’re my only man
Najiona na-go deep mwingine simtamani
Baby what a gwan
You’re my only man
Najiona na-go deep mwingine simtamani
I’m so deep inlove with you
Moyoni mwangu ni wewe tu
I’m so deep inlove with you
Uniheshimu usinidharau
I’m so deep inlove with you
Moyoni mwangu ni wewe tu
I’m so deep inlove with you
Inlove with inlove with you ohoo

Najuaga upendo huwa haunaga jinsia
Kwa yeyote atakaempenda mwenzake basi ruksa kumwambia
Nahisi kwa hisia mahaba nizike nishajifia
Siwezi kukuacha hata ukipata upofu huoni njia
Jinsi nilivyosota kiasi gani unajua
Navyokupenda ukinitosa Mungu anajua
Ingawa kutengana nayo ni hatua
Ila tambua penzi imara hujengwa kwa maombi na dua
Aah Sasa vipi nikuache
Wakati najua pole na hongera ‘asante’ ndo jibu lake
Macho yakitamani moyo husema hisia zake
Mdomo hujivika ujasiri wa kutatua tatizo lake

Kipi unajiuliza ufanya nifurahi
Waja lini mpenzi njoo unipe
I want you too all for me alone
Njoo unipe njoo unambie
What can you do to do for me
What can you do to do for me
What can you do to do for me
What can you do do do for me

Kipi unajiuliza ufanya nifurahi
Waja lini mpenzi njoo unipe
I want you too all for me alone
Njoo unipe njoo unambie
What can you do to do for me
What can you do to do for me
What can you do to do for me
What can you do do do for me

Ehee ehee
What can you do to do to do to do for me
What can you do to do to do to do for me
Hahahah
Man Water
And D Claaassic

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI