MISTARI YA WIMBO HUU

Don’t bother
Don’t bother
Don’t bother
(Nahreel on the Beat)

Tabasamu juu ni meza ya ma-brother
Don’t bother
Toto mbili tatu kutia ladha
Don’t bother
Daraja Mbili Ngarelo
Daraja hili hawadandii masoro
Don’t bother
Daraja Mbili Ngarelo
Daraja hili hawadandii masoro
Don’t bother

Ati
Nasikia kuna tuzo mpo kwenye list
Nasikia mnabebwa kwenye ma-playlist
Nasikia mna undugu na hawa journalist
Na vipi kuhusu hizi beef za kule na huku
Sijui kuhusu beef chief mi nafuga kuku
Wapi nani lini
Who when why
Who am I
Maswali ki-spy
Una Wi-Fi
Wi-Fi sina chief mi niko na wife
Unaandikiwa na Nikki
Siijui hiyo kalamu jomba naandikia Bic
Unatoa nyimbo nyingi
Sikumbuki kutoa nyimbo mi natoaga hit
Eti who am I

Tabasamu juu ni meza ya ma-brother
Don’t bother
Toto mbili tatu kutia ladha
Don’t bother
Daraja Mbili Ngarelo
Daraja hili hawadandii masoro
Don’t bother
Daraja Mbili Ngarelo
Daraja hili hawadandii masoro

Wooozah
I tell ’em niggas don’t bother
I be in that east coast getting more zaga
I be in the lane on my four-fivers
In the class spend the rands on my gold bottles
I’m with Joey on this track
Tz make a star I be going hard
Ain’t it funny how these niggas used to hate
Now I’m triple 7 got ugali in my plate
Bosi si kelele
Mungu ibariki
Spit the acappella speed kusaka hela
Keep it super mega
Long way if I drop kutafuta hela
Mbhega ta ta ta ta va the combo
JHP that’s my strong hold (my strong hold)

Don’t bother

Tabasamu juu ni meza ya ma-brother
Don’t bother
Toto mbili tatu kutia ladha
Don’t bother
Daraja Mbili Ngarelo
Daraja hili hawadandii masoro
Don’t bother
Daraja Mbili Ngarelo
Daraja hili hawadandii masoro
Don’t bother

Silazi msingi pale shamba usikae kile
Nanunua shamba heka na trektale
Mchaga na Mpare
Mchungu na hela ndo jadi you can’t separate
Check tarehe ID uliobalehe
Ulishakuwa mtu mzima tena huwezi ombale
Watu watakusaga kama gombale
RIP Larry Barehe
Sinoni Daraja Bee
Kimya si we ni loser get it
Unaleta gere ndo gere inazidi bamba
Gere we ni mbuzi utakula kwa urefu wa kamba
Gere tulizipanga
Juu tulisanda kutumia na kiringiringi
Ni kukata ringi ringi
Ili shilingi lingi ziwe mingi mingi
Kwenye matumizi huna wala usiwe dingi dingi
Mi natengeneza waleta mboyoyo mingi mingi

Hoooool’ up
Kabugu de wenesi
Play your position
Don’t get too comfortable with us
Realest nigga is what I see in the mirror
Business business I’m getting bigger and bigger
(Oh Lord)

Tabasamu juu ni meza ya ma-brother
Don’t bother
Toto mbili tatu kutia ladha
Don’t bother
Daraja Mbili Ngarelo
Daraja hili hawadandii masoro
Don’t bother
Daraja Mbili Ngarelo
Daraja hili hawadandii masoro
Don’t bother

Stealing the show we taking it from you
(aya ya ya ya)
Double the session double the money
(woozaah)
She feeling my flow I’m taking your honey
(aya ya ya ya)
What’d you thought you can’t tell me nothing
(Woozaah)
Aaaah

Nahreel on the Beat huh
The Industry

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU