MISTARI YA WIMBO HUU

Hili dude bwana we
(Linapagawisha)
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana we
(Linapagawisha)
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana
Hili dude bwana
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana
Hili dude bwana
Hili dude bwana we
(La kimataifa)

Ukienda South Africa we
Utacheza Kwaito
Ukienda Jamaica we
Utacheza Reggae
Ukienda Congo utakata mauno
Hip Hop ya kweli ipo America
Ukienda Palestina kila siku vita
Ukitazama Somalia wanakufa njaa
Watoto wanakufa na njaa kisa vita
Wamekaa wote kishari shari kisa vita
Pia mateka hawakupenda kutekwa kisa vita
Usiku kucha kazi mpaka wanakesha kisa vita
Hata nikienda ulaya nitarudi Bongo
Nisiporudi tena nitaonekana much-known
Hata nikienda ulaya nitarudi Bongo
Nisiporudi tena nitaonekana much-known

Hili dude bwana we
(Linapagawisha)
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana we
(Linapagawisha)
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana
Hili dude bwana
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana
Hili dude bwana
Hili dude bwana we
(La kimataifa)

Ukienda Sudani purukushani kuhusu dini
Tetemeko kila siku ndani ya Japani
Amerika nako kila siku skendo
Mara Osama kavamia kaua mitambo
Napiga Reggae watu waruke
Hili dude
Yoh masela muda mrefu wanangoja
Hili dude
Napiga Reggae watu waruke
Hili dude
Yoh masela muda mrefu wanangoja
Hili dude
Ukienda Palestina kila kona teja
Na kila club utayokwenda kote kumejaa
Ukienda Palestina kila kona teja
Na kila club utayokwenda kote kumejaa

Hili dude bwana we
(Linapagawisha)
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana we
(Linapagawisha)
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana
Hili dude bwana
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana
Hili dude bwana
Hili dude bwana we
(La kimataifa)

Hili dude hili dude
Hili dude bwana we
Hili dude hili dude
Hili dude bwana we
Hili dude hili dude
Hili dude bwana we
Hili dude hili dude
Hili dude bwana we

Cheza Reggae we
Cheza Reggae we
Cheza dude la Reggae na Chege we
Cheza Reggae we
Cheza Reggae we
Cheza dude la Reggae na Chege we

Moshi mkubwa umetanda juu ya anga
Wazee wa kale tunamuenzi Nesta Marley
Moshi mkubwa umetanda juu ya anga
Wazee wa kale tunamuenzi Nesta Marley

Hili dude bwana we
(Linapagawisha)
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana we
(Linapagawisha)
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana
Hili dude bwana
Hili dude bwana we
(La kimataifa)
Hili dude bwana
Hili dude bwana
Hili dude bwana we
(La kimataifa)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU