MISTARI YA WIMBO HUU

(MJ Records)
Deiwaka baby
You said you missed me
I missed you more

Ninataka freedom dom dom
Maybe I can come back home home home
Home sweet home home sweet home
Home home
Home sweet home sweet home
Home home

Tulijikata kitambo kwenda ng’ambo
Kwenda kusaka bingo
Kwani Bongo mambo hayakuwa mambo
Tukakomaa kiwanja tukaji-mix kijinja
Hatukugusa coccaine zaidi ganja
Na tukarudi home tukabaki kuwa wajanja
Na siogopi umri kwenda ila napenda
Kadri umri unavyokwenda
Na milioni kwenye akaunti nazo ziendelee kupanda
Hapo ndipo swaga zangu utazipenda ah
Kama kawa Deiwaka niko sawa
Tena ile kisawasawa hapa ni kazi na sala sio na dawa
Bonge la mzinga Kitonga na mbunge hapa hakuuwawa
Yote ni kazi ya Mungu
Na ndie anaenilinda siku zote maisha yangu
Na ambae anawaumbua mara zote adui zangu
Wacha mi nisepe zangu
Ni mida ya kucheza golf na VIPs wenzangu

Ninataka freedom dom dom
Maybe I can come back home home home
Home sweet home home sweet home
Home home
Home sweet home sweet home
Home home

Mama I made it mwanao nimefika mbali
Maisha yana afadhali na nakomaa nisifeli
Kiukweli hata mwenyewe najikubali
Najenga mpaka hoteli Hahah
Toka msanii mkongwe
Sasa niko mbioni kuwa mwanasiasa mkongwe
Sio ka Mugabe lakini utaniita Jongwe
Kwa zaidi ya miaka 22
TV na magazeti mi niko kwenye habari
Na sio tu habari bali ni source ya habari
Na wala sioni hatari ku-chill vijiweni na masela
Lakini napenda stori za mitikasi ya mahela
Mishilingi na midollar
Ndo definition ya economic freedom
Maisha yabadilike yawe matamu
Sio kila siku magumu
Kila mtu anaitaka freedom
Wapo wanaotaka freedom ya kula ndumu
Na siwezi kuwalaumu

Ninataka freedom dom dom
Maybe I can come back home home home
Home sweet home home sweet home
Home home
Home sweet home sweet home
Home home

Free free free free…
I pay the cost to be the boss nigga
Free free free free…
I know about losses
I’m so sincere
If you don’t know me just don’t talk about me
I don’t lose
I either win or learn nigga
Yeah

Ninataka freedom dom dom
Maybe I can come back home home home
Home sweet home home sweet home
Home home
Home sweet home sweet home
Home home

I wanna be free
We don’t wanna be rich
We just wanna be successful
You know what I’m saying
Mr II Sugu
Mbeya moja…
Yeah Mbeya baby
Mbeya

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI