MISTARI YA WIMBO HUU

Fresh (Remix) – Fid Q, Rayvanny na Diamond Platnumz

Nikipata cash nakuwa fresh kama cucumber
Nikiwa na dash nakuwa mjeshi bila full ngwamba
Kwenda resi sioni kesi Mr Kubanda
Nikijiset sikwepeshi naweka juu chanda
Sio mtu wa kila mtu ila ni mtu wa watu
Mtu shapu kuntu na ni mtu wa mbavu
Sio mtu kavu huyu mtu ana utu na love
Lakini sio mtu wa kila mtu na sio mpumbavu

(Remiix)

Nilivyosikia beat tu nikatamani nifanye verse
Nikamcheki Ngosha akaniambia Simba mbona fresh
Upesi upesi nikaandika ni-murder kesi
Na sasa ngoma kitaani imenuka kama kinyesi
Am still young kabla sijaitwa Chibudenga enzi hizo naitwa domo
Siku izi eti lips denda fresh
Baba Tiffa ama niite baba Lillan
Naskia naitwa baba Abdul eeh kuna mambo mitaani fresh
Mzuka ukipanda ukate viuno kama vanga
Kwa beat ya Kubanda inayobakwa na muuza karanga fresh
Ukinichukia sikosi ela hivyo kwangu sio kesi
Kunicompare na Cinderella haiwezi kuwa fresh
Simba toka mbuga ya Tandale
Naona swala wanaforce tuwe saresare
Viuno vidogo wanataka pensi ya Pepe Kalle
Siwalitaka kiti nimewapa hadi kitanda wakalale

Fresh fresh fresh fresh
Waambie mjini shule wasitamani vyote vimelipiwa
Kama ukipenda vya bure leta sahani utapakuliwa
Kipofu kuendesha gari fresh
Kwenda kwa miguu Zanzibar fresh
Wabunge kucheza kamari fresh
Masela kula ganja na askari fresh

Silver Fox kama
Naitwa boss na nina boo ka Babangida
Fresh off the board niko Zanzibar
Nasmell karafuu nikuwa na Kandiba
Fresh kama pipi ya miti pipi ya binti
Vipi ile pipi ya

Waambie mjini shule wasitamani vyote vimelipiwa
Kama ukipenda vya bure leta sahani utapakuliwa
Bakhresa kuokota siso fresh
Kula chapati kwa kijiko fresh
Rihanna kuimba mdundiko fresh
Anko Magu kwenda disco fresh

Fresh fresh fresh fresh
Eti ni fresh Kubanda na wabana pua au katika
Miiko ya hiphop atakuwa amezingua

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU