MISTARI YA WIMBO HUU

Kwanza kabisa namshukuru maulana
Ni mengi nimepita mpaka leo nimesimama
Nashukuru mashabiki wa ukweli
Bila nyinyi tayari mi ningeisha feli
Tunapendana tufurahi kila kona
Na hii ni ya kwenu naamini mmeishanisoma
Kama uko na mi tega sikio
Baada shida nyingi tunayabusu mafanikio
Siwezi kukata tamaa
Najua mi shujaa toka mama kanizaa
Wanakubali BK mpaka Dar
Amani na upendo kwa wanangu wa mtaa
Let’s make a toast
Usijekuzingua itaku-cost
Niko high usidhani nime-lost
I feel like Rozay
I’mma boss

I know umeni-miss sana
You know nimeku-miss sana
Si kwa mabaya
Bali ilikuwa najipanga
I’m the stresser for you
Kukufanya ufurahi
Kukufanya u-enjoy
Kukufanya utabasamu
Pili
Asanteni kwa masikio yenu ya nyuma
Sitowaangusha
Nitafanya vyema
Ma-ma
Mara ya pili ya nyuma
Wananina nonono
Wananina nonono

Tuko pamoja kama soldier
Wote funga mkanda sema
Aiyaya
Aiyaya
Tuko pamoja kama soldier
Wote funga mkanda sema
Aiyaya
Aiyaa

Na-na-na na ule mda mlikuwa mkingoja
Ushafika hakuna tena vioja
Baby Boy mi nasonga tu ki-soldier
Wanachonga lakini mi ndo namba moja
Hawaniwezi
Nakaza silegezi
Nataka niwafunge
Cheki wananivuta jezi
Holla
Kuchana kwangu sio msala
Mafanikio ni juhudi tu na sala
Japo kutusua sio easy
Lakini nipe deal
Rest in peace Coweezy
Japo kutusua sio easy
Lakini nipe deal
Rest in peace Coweezy

Tuko pamoja kama soldier
Wote funga mkanda sema
Aiyaya
Aiyaya
Tuko pamoja kama soldier
Wote funga mkanda sema
Aiyaya
Aiyaa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI