MISTARI YA WIMBO HUU

I’m a gentleman
M-healthy nakunywanga tu ma-vitamins
Mgenge hata sipendi mavita man
Ndio nikuwe fresh
Napiga shower nadunga marash
Moss moss buga sinanga stress
Ata ma-skin tone hainanga ra
Yes i like your miniskirt
Relax sipendangi hata ma-shortcut
The more unakaa na mimi the more wanaku-hate
Uko set uko fresh
Ka-smile kako hukam poa na mu-hate
Madame wangu si huwacha vi-sweet
Mi hu-chase nao sip cheki nimefunga zip
Wee niambie si nani anakujanga na nani kwa nani
Na sikianga nampigia nini kwa nini
Leo wewe umedunganga mini bila nini
Usiulize ni nini usiulize mi nini
I’m a gentleman yes i am

Nipate baby kwenye bar
Uliza shorty what she drinking
You know you’re rolling with a gentleman
Nauliza utapewa nini

Nipate baby kwenye bar
Uliza shorty what she drinking
You know you’re rolling with a gentleman
Nauliza utapewa nini

Yo ladies and gentlemen
Introducing
Frasha the gentleman madame wananipenda
Oh yeah i’m a ladies man
Always niko kazi so yeah i’m a businessman
Wananiitanga frasha yeah the super man
Juu watoto niko nao ni wasupa man
Nikiwa kwenye bar venye mi hukaa
Venye mi huvaa ai si huwanga balaa
Baby unakunywa nini
Pewe unachotaka kwani iko nini
Pause si ati nakukatia
But nikikupata siwezi mind pia

Baby unakunywa nini
Pewe unachotaka kwani iko nini
Pause si ati nakukatia
But nikikupata siwezi mind pia

Nipate baby kwenye bar
Uliza shorty what she drinking
You know you’re rolling with a gentleman
Nauliza utapewa nini

Nipate baby kwenye bar
Uliza shorty what she drinking
You know you’re rolling with a gentleman
Nauliza utapewa nini

In your lifetime girl hii ni chance
Yes
Holy chance ya ku-roll na a gentleman
Come closer mami tupate dance
Yes baby doll mi ni wako all night
Na-keep my swag right all white
Na leo nina date na snow white
Rare kind…
Bon-eye
Ladies go mental
Smiles all dental
We getting sentimental
Ka-tempo kako gentle
Mi ni yule yule
Tangu shule shule
Pata noti sasa baby come tule
Mi ni yule yule
Tangu shule shule
Pata noti sasa baby come tule

Nipate baby kwenye bar
Uliza shorty what she drinking
You know you’re rolling with a gentleman
Nauliza utapewa nini

Nipate baby kwenye bar
Uliza shorty what she drinking
You know you’re rolling with a gentleman
Nauliza utapewa nini

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI