MISTARI YA WIMBO HUU

Onana onana nana
Onana onana
Macho yanaita macho macho yanaita
Onana onana nana
Onana onana
Macho yanaita macho macho yanaita
Onana onana nana
Onana onana
Macho yanaita macho macho yanaita

Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down

Once upon time once upon rhyme
Nakumbuka Marry alikusumbua
Once upon time once upon rhyme
Ulijitahidi sana bado ukachengua
Umekumbwa na jini gani
Mbona mami hautuelewani
Hata jini kisilani sio kama wewe
Wala jini Makata Hakufikii wewe
Kosa langu kukuweka ndani
Haijulikani ndani mwanaume nani
Kila siku vituko tu
Mara moja moja babe unajiweka down

Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down

Kwanza sema na moyo wako
Usilingie uzuri wako
Kuna kupandaga mami na kushuka
Tupendane forever mpaka kufa
Usiku nikipita twitter
Mami nakukuta twitter
Nikisema nikucheki insta
Nakuta ushapost picha
Pesa zisikupe uchizi
Kibuli na kutudharau
Wale tulokupa shavu sasa unatudharau

Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down

I wanna feel love
Tulia tulia mami upate raha
Ooh ooh
Baki kwangu mami upate raha (babe girl)
Tuliza malingo kidogo (babe girl)
Tuliza na nyodo kidogo (babe girl)
Wacha kubinua kichuguu (babe girl)
Hata uende wapi kwako nimeshanasa

Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down
Go down hata mara moja go down
Go down hata mara moja jiweke down

Babe Girl mami tulia tulia tulia
Babe girl mami tulia tulia tulia

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU