MISTARI YA WIMBO HUU

Imma good boy
River camp soldier
Cause I’m a good boy
Nikki wa pili

God knows I’m a good boy
Toka maisha magumu mpaka rap boy
Siumizi kichwa kutambua idadi ya maadui
Nahitaji kuhakikisha mapato hayapungui
Nimepitia mengi ka mwanamke mwenye ugumba
Sina chuki za CCM kwenye ubongo wa Lipumba
Mitaani wanajivunia kutunga kwa yangu mimba
Mtoto wa kiume hageuzwagi
Kufanyiwa mchezo ka mgodi wa buzwagi
Maneno ya mama ni dhahabu hayatupwagi
Kwanini niwape presha wazazi
Kila mtu angekuwa mimi tungelala milango wazi
Kibaya nakificha kama ndoto
Hakuna ubaya kama kufanya mabaya mbele ya watoto
Wanaoniiga leo wakajivune kesho
I’m unforgettable son call me special
Una pesa wanawake na ustaa wa mziki
Utajiri wa kwanza ni kuwa na marafiki
Simama kwenye mic kama unataka kunificha
Stokei shuleni experience the best teacher
Nasema tu ukweli but I’m not the preacher

Na utajiri wa mapendo cause I know
I am a good boy
Moyoni mwangu sina chuki cause I know
Cause I’m a good boy
I’m a good boy cause I’m a good boy
I am a good boy
I’m a good boy yeah
Cause I’m a good boy
Na utajiri wa mapendo cause I know
I am a good boy
Moyoni mwangu sina chuki cause I know
Cause I’m a good boy

Waliolala nawaamsha here we go amkeni
Tumwambie mwenyezi mungu “I know I can”
Kubarehe ni mtihani na wengi wamefeli
Soma ishara mitaani mbwa wanalamba reli
Ni wakati wa machizi wa mtaa do the best
Nani kasema shujaa hazaliwi gesti
Fanya kazi ujenge urafiki na hizi hela
Usimuache anaekupenda mapenzi yakamfunga jela
Adui namsahau milele amen
Napomkosea rafiki moyoni I get pain
Najua sina maana ka cha maana nta-diss
Mziki ni biashara make money on this
Demu simuiti mlupo hadhi yake kuishusha
Simtongozi mwanafunzi nimuharibie maisha
Siwatukani watu mtaani nakuheshimu mama
Umenipa malezi nami naishi kwa mema
Wingi wa mashori sio kipimo cha urijali
Kama mwanaume wa kweli nyumbani wapate ugali

Na utajiri wa mapendo cause I know
I am a good boy
Moyoni mwangu sina chuki cause I know
Cause I’m a good boy
I’m a good boy cause I’m a good boy
I am a good boy
I’m a good boy yeah
Cause I’m a good boy
Na utajiri wa mapendo cause I know
I am a good boy
Moyoni mwangu sina chuki cause I know
Cause I’m a good boy

Jyeah
Good boy huamka mapema
Kama kuna kitu kinamuumiza hafichi anasema
Kutoka kimaisha mtaani ni ngumu
Ujana starehe kubarehe ni sumu
Ndo maana macheck-bob mashuleni hawadumu
Gwevara nyerere we’re good boys
Nikki wa pili na mandela ni good boys
Sema na we kama unataka kuwa good boy
Ukimuona jimmy na anna ambia
Huu ni mkata tunasaini kwa nia
Okoa watoto wa mtaa drop the knowledge
Ujinga upo karibu na njaa get this message
Ukipora cha watu siku zote ni tamu
Wakikutia mikononi kifo hakiishiwi hamu

Na utajiri wa mapendo cause I know
I’m a good boy
Moyoni mwangu sina chuki cause I know
Cause I’m a good boy
I’m a good boy cause I’m a good boy
I’m a good boy
I’m a good boy yeah
Cause I’m a good boy
Na utajiri wa mapendo cause I know
I’m a good boy
Moyoni mwangu sina chuki cause I know
Cause I’m a good boy

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI