MISTARI YA WIMBO HUU

Talk Of The Town!
Haooo, haooo
Haooo, haooo
Haooo, haooo

Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Haooo, haoo ooh (haoo)
Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Haooo, haoo ooh (haoo)

Wanasema kuwa hutokubali kisa sio yangu hadhi
Eti sikufai na yangu mapenzi (haoo)
Nafurahi soremba tumewaacha
Macho yamewatoka, roho zao huuma
Vingi visingi wasiingize mguu mpenzi
Roho zao mbayaa aaha (haoo)
Aibu zimewajaa
Aibu si tunapeta aah

(Haoo)
Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Haooo, haoo ooh (haoo)
Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Haooo, haoo ooh (haoo)

Hahah
Mwasiti na Chidi
Wanok nok wakusema mabaya
Wana-talk talk mdomoni wanatema fire
Wanatuunguza hawafai
Usipende cheka nao, usiwape hata hi
Usipende kula nao hata ikiwa chips dry
Sijali wacha waseme yatapita hayakai
Mi nakula good times, zikiisha naongeza
Wanabana sina time bidii nazidi kuongeza
Hivi nani alisema maneno yanaua?
Na hivi nani ambae alizaliwa anajua?
Napiga dili nafanya mishe mishe
Mtoto wa mjini ukiniona unipishe
Sitaki karaha wacha nisababishe, niwakilishe
Usibishe, so niache ni-enjoy na mahabuba
Usinigande, msitugande mtafanana na ruba

(Haoo)
Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Haooo, haoo ooh (haoo)
Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Haooo, haoo ooh (haoo)

Vibarazani kukaa, maneno kutoa nimeshazoea
Vicheko kawaida, kwani hayo yote maisha
Nachokipata nakijua mwenyewe (mwenyewe)
Nachokipata nakijua mwenyewe (mwenyewe)
Si pesa wala si gari
Ni mapenzi yale ya dhati (haoo)
Si pesa (haoo) wala si gari (haoo)
Ni mapenzi yale ya dhati haoo
Usijali tena (sijali pia mamii)
Hata ukisema (ni wewe tu kipenzi wifey)
Nimeshapata kile nachotaka haoo
Usijali tena (sijali pia mamii)
Hata ukisema (ni wewe tu kipenzi wifey)
Nimeshapata kile nachotaka haoo

(Haoo)
Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Haooo, haoo ooh (haoo)
Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Haooo, haoo ooh (haoo)

(Haoo)
Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Haooo, haoo ooh (haoo)
Wanasema ya watu ya kwao yanawashinda
Haooo, haoo ooh (haoo)

Yaoh, hao haoo
Aaha aah aa
Mwasiti, Chidi Benz
Pamoja hili ni bonge la collabo
Yeah, Mwa..Mwa..Mwa..Mwa..Mwasiti
Waambie waambie
Waambie waambie haoo
Yeah 41 Records
Yaah oh
Chidi Chidi Chidi go

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI