MISTARI YA WIMBO HUU

Ni-zoom kwenye lens ukijihisi ni spy bob
Na wenye mistari kwenzi hili bichwa la Cyborg
Hip Hop, hii popping, hii papa usikonde
Unaweza kucheza box na usipige moyo konde
Ndezi otea tusua tuseme echo
Mkwezi nilobobea naangua mpaka kicheko (hehehe)
Muige yule na kisha u-hit kwa msimu
Mi ndo denti mpenda shule nae fundisha hadi walimu
Wanagwaya, wanahamaki, baniani mbaya
Kiatu dawa, mbona sijakikuta pharmacy?
Hizi flow ziko fitful, beatful na seatful
Mistari imesusa nywele ka kichwa cha Pitbull
Game tough kutoka, underground usiache siti
Mi ndo rapper nyoka nae gonga mpaka beat
Maisha yako tight, una-fight unakuwa free
Nakusihi vumilia kama mic iko gamati ya ma-emcee

Hapa kazi tu, tashona mikazo tu
Microphone check, moja-mbili, one-two
Haturudi nyuma, mbele ni kwa mbele tu
Hatushuki chini ngoma ni juu kwa juu
Punch tu, rhyme tu, one-two
Sitaki watu na nafanya kwa watu
Haturudi nyuma, mbele ni kwa mbele tu
Hatushuki chini ngoma ni juu kwa juu

Watoto wanashika moo (marahaba)
Vijana vipi? Wakubwa wanataka kujua kama sijambo
Kitambo, nawarusha kama umekutana na Steve B, mafuvu ama Peter Moe
Wanaogopa navyowashika bro
Maana nawabana mpaka wanaita choo
Hakika natoka Afrika kwenye vita more
Tena yenyewe kwa wenyewe inasikitisha joh
Oh-oh, naamini tutafika ndo
Maisha, na kila mmoja ana muda wake wa kupiga shoo
Msingapore, naamini kama nilizaliwa uchi siwezi lia eti kisa sina dough
Maajabu ni ndama kumpiga simba kofi
Hii mitaa imechafuka huwezi pita tozi
Na ukitaka picha utapigwa bila pozi
Ukiwashwa, unazimwa na mistari inakuna bila ngozi

Hapa kazi tu, tashona mikazo tu
Microphone check, moja-mbili, one-two
Haturudi nyuma, mbele ni kwa mbele tu
Hatushuki chini ngoma ni juu kwa juu
Punch tu, rhyme tu, one-two
Sitaki watu na nafanya kwa watu
Haturudi nyuma, mbele ni kwa mbele tu
Hatushuki chini ngoma ni juu kwa juu

Niko booth na-spit kwa kinasa
Hawanigusi kwa verse ya kisasa
Kongo Kinsasha, kuwa kimsasa
Funguo ya wagumba, mi nna kitasa

Muda ni pesa, maisha ni muda
Sina muda wa kupoteza kwani afya ni kubwa
Taifa ni bugdha, hadi nahisi ile ahadi ya Muumba
Kwamba Yesu atakuja huenda hatonikuta, ha!

Hapa kazi tu, tashona mikazo tu
Microphone check, moja-mbili, one-two
Haturudi nyuma, mbele ni kwa mbele tu
Hatushuki chini ngoma ni juu kwa juu
Punch tu, rhyme tu, one-two
Sitaji watu na nafanya kwa watu
Haturudi nyuma, mbele ni kwa mbele tu
Hatushuki chini ngoma ni juu kwa juu
Hapa kazi tu, tashona mikazo tu
Microphone check, moja-mbili, one-two
Haturudi nyuma, mbele ni kwa mbele tu
Hatushuki chini ngoma ni juu kwa juu
Punch tu, rhyme tu, one-two
Sitaji watu na nafanya kwa watu
Haturudi nyuma, mbele ni kwa mbele tu
Hatushuki chini ngoma ni juu kwa juu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI