MISTARI YA WIMBO HUU

Hawatuwezi
Iko wazi
Nako 2 Nako’s soldiers
We the champs
A City yeah yeah ah ha
A City yeah ah

Mitambo yangu fat
Hawa hisabati
Hizi tatu tofauti ndo zinatuweka kwenye chart
Wengi hawataki wengine wanahamaki
Hii beat ya P Funk naitambalia kama staki
Check navyotembea
Check navyoenea
Check ma-kick ma-snare
Halafu check unavyonielewa
Nawakilisha Hip Hop ndo sababu niko hapa
Buh pesa ndo kitu sina na nitazisaka daima
Mtu mzima mwanaume majukumu lazima
Game ngumu nabadilikia humu humu
Nasukuma Hip Hop gurudumu nakomalia humu humu
Nazidi kutema sumu game ngumu
Commercial niggas wana pumu mistari ina wahukumu
Hawajui wanachosema kwenye shoo wanahema
Wametoka mapema flow zao za uuh
Usoni sina ngenya ila moyoni sio mwema
Sipendi sana kutema sababu kuna madini natema
Nikitema leo kesho nakuta dukani yanauzwa
Nisipotema kesho kutwa emcees tutawauguza

Hawatuwezi
Itakuwa ngumu kutusikia chini
Hawatuwezi
Aah uu laah
Hawatuwezi
Ingawa game ni ngumu
Bado naendelea kutema sumu

Yeah
Ah
Yule yule aliyekupandisha ndiye atakae kushusha
Sisi tunazidi sababisha haya yote si maisha
Macho kwenye fedha dizaini ya mbwa msaka fedha
Huu sio mchezo ni vita na hivi ndo tunavyovicheza
Marafiki ndo wasaliti ma-b*tch wana-snitch
Na nikihitaji msaada wanajeshi wako fit
Tumezaliwa ili kupambana hatuko hapa kurumbana
Jealous sio mzuka kaa tuongee vya maana
Si sote bado vijana si sio watu wa kugombana
Mwenyezi Mungu ametupatia nguvu na akili pambana
Nukisha wamekwisha wapoteza kabisa
Jinsi navyoshindua kwa fasi wanaonekana kabaisa
Nimekomaa kwenye hii game toka enzi za kina Kibasha
Nipe tano nipe gwara nisiwaharibie mapacha
Matukio yangu ni noma moja akichee nateka Boma
Kuwa makini bwa’ mdogo napopita napaona
Itakuwa ngumu kutusikia chini raia wanaulizia
Hizi kwetu nagonga mbali sio tu hapa Tanzania
Itakuwa ngumu kutuharibia people wanatuaminia
Mapinduzi kila siku ka Biggie yupo Tanzania

Hawatuwezi
Itakuwa ngumu kutusikia chini
Hawatuwezi
Aah uu laah
Hawatuwezi
Ingawa game ni ngumu
Bado naendelea kutema sumu

Sambo na thoughts loss
That’s man of experience
Flow hili reverend kwa frequency draw
Ni kama Runda na defence
Ona difference ya illness na fakeness
Kick na snare na evidence
Na-spit sense future participle tense
Collabo la 50 cents
Fake emcees wana-spit nonsense
Hawa make sense hii kwao ni rough sentence
Nawaua mi kila sentence
Hence nakanyaga clutch na-change gear na pace
Ka ace hence mpaka classic
Sh*t world cup park ya Jurassic
Wasanii mnaleta traffic
Siwaafiki nyie wanafiki
Nawameza ka meli ya Antlantic
Need a hustler niko maabara
Trap star viagara muadhara

Hawatuwezi
Itakuwa ngumu kutusikia chini
Hawatuwezi
Aah uu laah
Hawatuwezi
Ingawa game ni ngumu
Bado naendelea kutema sumu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI