MISTARI YA WIMBO HUU

Hello
Ni mimi
Baada ya miaka na mikaka je twaweza kukutana
Turejelee yote
Wanasema muda unaponya mbona bado ninaumwa

Hello
Waniskia
Niko Pwani nikiota juu ya vile tulikuwa
Kama vijana tulipokuwa huru
Nimesahau ilivyohisi kabla dunia ianguke
Tofauti baina yetu
Na maili milioni

Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha kwa niliyotenda
Lakini mteja hapatikani

Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo
Lakini ni kama haikujalishi
Kamwe

Hello
Waambaje
Ni kawaida yangu kujizungumzia oh
Niwie radhi
Natumahi utaniwia radhi
Je uliweza hama toka ule mji uliokuboesha
Sio siri
Kuwa mi na we
Tunapitwa na masaa

Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha kwa niliyotenda
Lakini mteja hapatikani

Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo
Lakini ni kama haikujalishi
Kamwe ooh
Kamwe ooh
Kamwe ooh
Kamwe kamwe

Hello ‘toka kwa mataa
Mara elfu kakupigia
Kuomba msamaha kwa niliyotenda
Lakini mteja hapatikani

Hello ‘toka kwa mataa
Naweza sema nimejaribu
Mpenzi nisamehe kwa kuvunja moyo
Lakini ni kama haikujalishi
Kamwe

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU