MISTARI YA WIMBO HUU

Hello
Hapo vipi sijui unanisikia
Hello
Na maneno natamani kukwambia
Hello
Tafadhali usije nikatia
Hello
Ona mpaka nasahau kusalimia
Habari gani
Leo nimekukumbuka sana
Na mama yaani twakuwazaga
Vipi nyumbani hali ya mumeo na wana
Na aunty Shani wa Chimwaga
Kile kidonda changu cha roho
Bado kinanitia tabu
Najitahidi kukaza roho
Ila nazidisha adhabu
Oh tena silali oh
Nasubiri maajabu
Maumivu yangu yaje yapate dawa

Maana I miss you (nakukumbuka iye iye)
I miss you (nakukumbuka iye iye)
Ado I miss you (nakukumbuka iye iye)
I miss you (nakukumbuka iye iye)

Una roho yangu mama
Ah nikikuwaza nikisinzia
(Bigili bigili bayoyo)
Oh nikilala (bigili bigili)
Inama inuka woh (bigili bigili)
Nami sina raha
(Bigili bigili bayoyo)

Nyungu tunguli nishapiga sana
Yanga kuwaguwa tia kufuri
Moyo kuhusahau
Vyema kaburi nusu kula nyama
Nikajisumbua kumbe sifuri
Hakuna cha angalau
Oh Sijaweza mi kuficha nisiseme
Sijaweza aah
Sijaweza

Maana I miss you (nakukumbuka iye iye)
I miss you (nakukumbuka iye iye)
Ado I miss you (nakukumbuka iye iye)
I miss you (nakukumbuka iye iye)

Una roho yangu mama
Ah nikikuwaza nikisinzia
(Bigili bigili bayoyo)
Oh nikilala (bigili bigili)
Inama inuka woh (bigili bigili)
Nami sina raha
(Bigili bigili bayoyo)
Hata nikila (bigili bigili)
Nikikuwaza (bigili bigili)
Nikinalima
(Bigili bigili bayoyo)
Eeh

Una roho yangu mama
Ah nikikuwaza nikisinzia
(Bigili bigili bayoyo) oh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI