MISTARI YA WIMBO HUU

Hellow
Hellow  hellow
Hellow hellow

We si ndo yule uliyenitamkia
Kuwa uvungu wa moyo wako kweli ndo mie
We si ndo yule uliyenitamkia
Kuwa uvungu wa moyo wako kweli ndo mie

Hellow hellow
Oh my sweety
Hellow hellow
Oh my sweety

Hellow hellow
Oh my sweety
Hellow hellow
Oh my sweety

Alinenaga mapenzi ni upofu
Kipofu leo nimeona (aa ehh!)
Moyo wangu una hofu
Kwa ganzi ya penzi ulonichoma
Lonely, lonely
Lonely, lonely

We si ndo yule uliyenitamkia
Kuwa uvungu wa moyo wako kweli ndo mie
We si ndo yule uliyenitamkia
Kuwa uvungu wa moyo wako kweli ndo mie
Iweje leo hupokei simu zangu mie!
Iweje leo you don’t pick up my calls!

Hellow hellow
Oh my sweety
Hellow hellow
Oh my sweety

Hellow hellow
Oh my sweety
Hellow hellow
Oh my sweety

Ukilia mama na mimi pia ntalia (ntalia)
Unavyolalamika ujue moyo unanichoma (unanichoma)
Kutafuta tu mapesa ndo inanifanya niwe busy
Oh ooh oo my wee
Sijapenda uwe lonely
We ndo kiboko wangu
Mtoto mzuri kama wewe unahitaji matunzo
Na nikiwa sina pesa itakuwaje?
Wasije wenye mapesa zao wakakuchukua taratibu uuh wapite!

Hellow hellow
Oh my sweety
Hellow hellow
Oh my sweety

Hellow hellow
Oh my sweety
Hellow hellow
Oh my sweety

Mbona nakuona Insta
Na WhatsApp message unasoma
Simu kutwa busy tu, au zangu hujaona?
Uwo u-busy kwangu tu?!
Kuwa wazi kama naboa we baba wee
Mh mmh

Ale me mwanamama nimeshakuelewa
Naomba mama unisamehe (wee)
Sogea kidogo nikuulize kitu kidogo oh
Unataka tuwe pamoja ah aa? (ah aah)
Unataka nisiwe mbali na we?

Every day, every night, kila siku
Kila dakika aah aa baba aah

Every day, every night, kila siku na
Kila dakika, sasa baby tu

Hellow hellow
Oh my sweety
Hellow hellow
Oh my sweety

Hellow hellow
Oh my sweety
Hellow hellow
Oh my sweety

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI