MISTARI YA WIMBO HUU

Switch!

Whoozu Yeeza mahn
Yeezaya
Put the fire upon them
Lord have mercy (Itz S2kizzy baby)
Whoozu Man
Mbinguni Man

Naona kisa kujuana
Umezidisha sifa mpaka umenyoa vibaya
Style za singeli unacheza nyimbo za kwaya
Umeninyima lifti ankali una roho mbaya
Vivua vina yumbu kama ume expire yeah

Cheki mwili mzima umeijichora tattoo
Unawaza urithi mshua kapata nafuu
Vitu vyako feki bado unauza bei juu
Unajisahaulisha chenji unaminya juu juu
Watasema eeh eeh napiga kelele
Maneno maneno mengi na kiherehere
Kubishana mi sipendi
Naomba muelewe
Ila ukweli ndio huo

Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni ( ye ye ye ye)
Huendi mbinguni ( ye ye ye ye)
Huendi mbinguni
Ndo ushafeli eh ( huendi mbinguni)
Huo ndo ukweli eh (huendi mbinguni)
Ndo ushafeli ( huendi mbinguni)
Huo ndo ukweli aah

Ati unakula bia na kwenu haujajenga
Achanga urwambi una culture pewa
Posa haijafika unamsnitchi mshenga
Shepu sio yako ume edit pic ( ayaya)
Mtumishi unasinzia ibadani
Unatia uwongo mpaka msibani
Nikiwa serious unafanya utani
Unanibeep alafu haupatikani

Cheki mwili mzima umeijichora tattoo
Unawaza urithi mshua kapata nafuu
Vitu vyako feki bado unauza bei juu
Unajisahaulisha chenji unaminya juu juu
Watasema eeh eeh napiga kelele
Maneno maneno mengi na kiherehere
Kubishana mi sipendi
Naomba muelewe
Ila ukweli ndio huo

Huendi mbinguni
Huendi mbinguni
Huendi mbinguni ( ye ye ye ye)
Huendi mbinguni ( ye ye ye ye)
Huendi mbinguni
Ndo ushafeli eh ( huendi mbinguni)
Huo ndo ukweli eh (huendi mbinguni)
Ndo ushafeli ( huendi mbinguni)
Huo ndo ukweli aah

S2kizzy baby

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI