MISTARI YA WIMBO HUU

Si unajua maumivu ya penzi
Navyoumia, usije kwenda, mi nitalia
Unafiki kwenye mapenzi, wamezoea
Nisichotenda, wananizushia
Eti wanatamani, nisiwe na macho
Ukipita, nisikuone
Wengine wanatamani, nisiwe na miguu
Nikikuona, nisikufate
Ile mikamba ya upendo, wataikata
Na lile penzi litapotea
Vile najali mapendo, ila sio sasa
Nahisi penzi litapotea

Uh mama tena do salale
Utanifanya nisilale
Ukiwasikiiza mama, ah
Uh kipenzi do salale
Utanifanya nisilale
Ukiwasikiiza aah

Tatizo sio mimi mama
Nakupenda sana
Nakupenda mama
Mpaka moyo unaniuma
Tatizo sio mimi mama
Nakupenda sana
Nakupenda mama
Mpaka moyo unaniuma

My baby I love you, love you
I love you, mama I love you ah
My baby I love you
Aah I love you
My baby I love you, love you
I love you, mama I love you ah
My baby I love you
Aah I love you

Unaposema husikiizi moyo wangu unatulia, wabaya
Kukupenda ni kilema kitakachodumu maishani
Usije ukasahau
Walitamani wanitoe na macho
Nisikuone kabisa, kabisa we ukipita
Walitamani wanikate na ulimi
Mi nishindwe kusema, kusema

Tatizo sio mimi mama
Nakupenda sana
Nakupenda mama
Mpaka moyo unaniuma
Tatizo sio mimi mama
Nakupenda sana
Nakupenda mama
Mpaka moyo unaniuma

My baby I love you, love you
I love you, mama I love you ah
My baby I love you
Aah I love you
My baby I love you, love you ah
I love you, mama I love you
My baby I love you
Aah I love you

Mama do salale
Unanifanye nisilale
Mpenzi do salale
Utanifanya nisilale
Silaili do salale
Hebu piga wasilale
Sema do sala–
Oh mama do sala–
Mama do salale

Sema do salale

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI