MISTARI YA WIMBO HUU

I
A city in a house
See
Nahreel
Me
Najiona mimi
Najiona mimi

I see me internationally
I see me overtaking wale
Najiona mimi
I see myself I see nobody nobody else
Najiona mimi
Ehh Mungu Bwana nifanyie wepesi
I see me internationally
I see me overtaking widely
Najiona mimi eh
Najiona mimi eh

Namwona baba mmoja tu juu najuona mimi
Namwona mama mmoja tu chini najiona mimi
Naziona chuki zao upendo najiona mimi
Mabegani msalaba wa ndoto mtoto wa maghetto
Ziwe kweli zisiishie kisongo Segerea, Keko
Juu ya kweli ndo nifie Steven Biko
Najiona mimi yapoanzia mabadiliko
Fikra potofu badili hizo
Ndoto si kuzikalia skani mkilia lia
Ndoto ni kuamka mbio kuzikimbilia
Mziki una hela mwanzo unapoingia
Hela nyingi ziko mwishoni hutozifikia (for real)
Hapo kati kuna kisu suna jampia
Wale papa wabakaji mpira hawatotumia
Ulikuwa mpaka poda utapakua hadi utalia
Na usiambie mtu labda Yesu wa Maria
Baba nikiwa club nakunywa local beer
Naomba mziki unaopigwa uwe ni local pia
Nyeusi kwenye tshirt ndio local gear
Makini Joh nabado ma flow ni….pia

I see me internationally
I see me overtaking wale
Najiona mimi
I see myself I see nobody nobody else
Najiona mimi
Ehh Mungu Bwana nifanyie wepesi
I see me internationally
I see me overtaking wale
Najiona mimi eh
Najiona mimi eh

Najiona mimi na Mitasi tuli mary mary
Utu ndo kitu changu mimi heri heri
Marks za shoo zangu A very very
Natia neno haleluya kwenye Halle Berry
Wametuacha mbali na zao serikali
Wakiunda magari, serikali yangu bado inaunda
leseni
Ndo maana najiona mimi tu nikiunda top 10
Naamka na hangover ya hela siamki na deni
Naamka na hangover ya hasira siamki na dem
Nakiri hizi ndoto ka ndoto si Grammy, BET,
MTV en Channel O
Nawakilisha daraja mbili na Ngareloo
Najiona mimi juu ya mamiloo
Mawazo juu ya pesa zangu under ma pillow
Lord Jesus my hero oh
Naona injili na shilingi siingilii kanisani
Siitilii maanani sigara saratani
Siingilii madukani ni shiiida umasikini
Ndo maana mtaani naua
Shugamami hajui kushikamoo anashika muwa
Utashika hela ama dua

I see me internationally
I see me overtaking wale
Najiona mimi
I see myself I see nobody nobody else
Najiona mimi
Ehh Mungu Bwana nifanyie wepesi
I see me internationally
I see me overtaking wale
Najiona mimi eh
Najiona mimi eh

Yeah
I see me looking nice I see
Nyeusi kwa bodaboda na my eyes I see
Your girlfriend look at me twice I see
Na si makosa yangu I’m sorry aiseeh
I see me internationally
I see me overtaking widely
Eh I see myself I see nobody nobody else
Napiga goti eh Mungu Bwana nifanyie wepesi
Mwanzo na mwisho si niwe Alfa na Omega yes
Nalisha neno kwa kila rika na kila enzi
Ah Mi si jino kwa jino, nyoka kwa kisigino
Zima ni lako neno, Makini Joh wa Simo
Ndoto zangu sio Limou..sine
Moringe Sokoine
All I do is…hold up
All I do is winning, najiona kwenye hela mingi
Chapu chapu shule mingi
Kauli yangu mbiu ni kauli kata usikate ringi

Najiona mimi
Najiona mimi
Najiona mimi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI