MISTARI YA WIMBO HUU

Hello hello baby, kila kitu ndivyo sivyo
Ila nimekuja tu mi nilivyo oh
Itakuwaje
I was thinking maybe
Tukienda taratibu tutapata majibu
Unaonaje Eey
Maisha ni magumu, tumekwama humu
Itakuwaje Itakuwaje Eey
Hawajali, walimwengu wakali
Tuko mbali, na nyumbani
Tukiwa wawili, najua hatutofeli
Kaa nami, imba nami

Tara tara, tara tata tata
Imba nami, imba nami, imba nami baby
Tara tara, tara tata tata
Imba nami, imba nami, imba nami baby
Tara tara, tara tata tata
Imba nami, imba nami, imba nami baby
Tara tara, tara tata tata
Imba nami, imba nami, imba nami baby

Hello, hello baby
Hofu mimi ninahisi
Kupendana si rahisi
Itakuwaje I was thinking maybe..
Kama tukiamua, pamoja tutakuwa
Unitenguo oh oo oh
Nje baridi, nayo inazidi
Inazidi, inazidi
Tukiwa wakweli, tutafika mbali
Kaa nami, imba nami

Tara tara, tara tata tata
Imba nami, imba nami, imba nami baby
Tara tara, tara tata tata
Imba nami, imba nami, imba nami baby
Tara tara, tara tata tata
Imba nami, imba nami, imba nami baby
Tara tara, tara tata tata
Imba nami, imba nami, imba nami baby

Imba nami, imba nami, imba nami baby
Imba nami, imba nami, imba nami baby
Imba nami, imba nami, imba nami baby
Imba nami, imba nami, imba nami baby

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI