MISTARI YA WIMBO HUU

Maneno ni sumu, yalishanihukumu
Kuniacha sikulaumu, kunirudia ni vigumu, we mama wee
Eeh kwani huyo, huyo, huyo, wanasema mangapi?
Mpaka yanafika kwako, leo unasema hunitaki
Kwani huyo, huyo, huyo, wanasema mangapi?
Mpaka yanafika kwako, leo unasema hunitaki

Pole, pole, pole
Imebaki story, story, story
Mmh nipotee, uwe na mwingine
Wanataka we ukosee, uwe na mwingine
Wanataka nikosee, uwe na mwingine
My baby sorry, sorry, sorry

Usije kuzima taa ukaniacha gizani
Kwani maumivu ya mapenzi na kidonda hayafanani
We hata ukinuna moyo wangu taabani
Mi kuwa mbali nawe eeh sitamani
Umesikiiza maneno ooh, ni sumu
Ukaamini maneno ooh, umenihukumu
Umesikiiza maneno ooh, we ni sumu
Ukaamini maneno ooh, ukanihukumu

We pole, pole, pole
Imebaki story, story, story
Mmh nipotee, uwe na mwingine
Wanataka we ukosee, uwe na mwingine
Wanataka nikosee, uwe na mwingine
My baby sorry, sorry, sorry
Imebaki story, story, story

I dedicate this one
To the one who had my heart
I hope you feel me right now
I wish I could turn back the hands of time
And correct all my mistakes
But I guess I gotta move on
Peace!
Pappination

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI