MISTARI YA WIMBO HUU

Si sura tu
Bali shepu na tabia (ah )
Alivyobarikiwa (ah)
Inshalaah mola amemuumba
Ni roho juu
Akiniangalia(ah)
Moyo unatulia(ah)
Ni uzuri wa karonga.

I say hi, hi kwanza nafurahi
Kabla hujanipa mambo nipe kikombe
cha chai
Najidai huku very fine, bila shy hi
Mai mama Rai mwana ya masaai
We nipe bila kipimo
Macho mpaka Visingino
Nikumwagilie wino
Yangu sio mbilikimo
We nipe bila kipimo
Macho mpaka Visingino
Nikumwagilie wino
Yangu sio mbilikimo
Anacheka eh, anacheka
Anadensi eh anadensi
Inde mama inde, Inde mama inde
Inde mama inde, Inde mama inde
Inde mama inde, Inde mama inde
Inde mama inde, Inde mama inde
I say lala kiuno chako propeller
Body yako umeivisha dera, uzuri mpaka unakera
In the morning, unanipa bila shaka mwingine hapana taka
Kiunoni, baby wacha mashaka mie hoi nyakanyaka
Mwingine sioni, na utamu wa bata natafuna ninavyotaka
Kimo cha ndani, nipatiwe wa Arusha twende tukapo tabata

We nipe bila kipimo
Macho mpaka Visingino
Nikumwagilie wino
Yangu sio mbilikimo
We nipe bila kipimo
Macho mpaka Visingino
Nikumwagilie wino
Yangu sio mbilikimo
Anacheka eh, anacheka
Anadensi eh anadensi

Inde mama inde, Inde mama inde
Inde mama inde, Inde mama inde
Inde mama inde, Inde mama inde
Inde mama inde, Inde mama inde
Nasiyo mchoyo unanibamba minakwisha kabisa
Pala pala papapala lala
Kama kibogoyo unavyoilamba nadakika kwa visa
Pala pala papapala lala

Inde mama inde, Inde mama inde
Inde mama inde, Inde mama inde
Inde mama inde, Inde mama inde
Inde mama inde, Inde mama inde

Waka waka waka waka
Waka waka waka waka

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI