MISTARI YA WIMBO HUU

Hey hey
Oh ooh yeah
ABBAH

Oh baby
Niruhusu tufanane
Huku nikiamini one day utanioa aah
Baby
Nikikuona nabanwa na haja
Baby
Nakuwaga kitutu ng’ang’a
Tell me nikipita kupa mawazo
Ooh baby
Kati nakutunuku mia mia

Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi usigande
Kama ruba nigande
Tuwe wote eeh
Aah come baby come babe
Msumari kwa nyundo nigonge
Oh Monday to Sunday
I love you

Mm oh basi (iokote)
Sio kwa bed kwa kochi kitandani naichumia (iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)

Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha mori nachechemea
Oh yeah baby baby

Ikitoka kuoga nitengee ya moto moto (aah)
Tinga moka kitenge tutoke mtoko (aah)
Boda kwa boda tutembee (chocho kwa choko)
Tena nikichoka nibebe (mi kwako mtoto)
Aiye eh
Lafudhi ya Pemba rangiani hai (hai)
Nywele kihindi chambi chambi (hai)
Cheza rafu kona bambii
Mpoko mpoko
Hey

Refa katupa penati (ahaa eeh)
Mpira ushawekwa kati (aah eeh)
Nahitaji magoli kwa chenga zako
Piga shuti nikudakie

Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi zigande
Kama ruba nikugande
Tuwe wote (eeh)
Uhu yeah

Aah come baby come babe
Msumari kwa nyundo nigonge
Oh Monday to Sunday
I love you

Mm oh basi (iokote)
Sio kwa bed kwa kochi kitandani naichumia (iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)

Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha mori nachechemea
Oh yeah
Baby baby

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU