MISTARI YA WIMBO HUU

Nasema jambo jambo mama
Habari gani nzuri sana
Ukiniacha ntaumia
Mwenzio nshakuzimia
Nasema jambo jambo mama
Habari gani nzuri sana
Ukiniacha ntaumia
Mwenzio nshakuzimia

Uzuri wako umenifanya
Niwe nawe ka kabisa
Tabia ndio imenivuta
Niwe karibu
Moyoni niwe na furaha baby
Na furaha baby
Hakuna atakayenitenganisha
atakayenitenganisha
niwe mbali na we mama
Ni mungu mwenyewe anaweza
Anapenda wote tuwe na furaha baby
Na furaha baby

Without you
Without you
Love me o I can’t be
Without you
Without you
No steve rnb
Without you
Without you
Love me o I can’t be
Without you
Without you
No Steve RnB

Natamani niwe nawe kila saa
Usiku na mchana kuna njaa
Ukiwapo we pembeni kweli najivunia
Karibu ndani yangu washa taa
Ndani giza nene washa mshumaa
Sikia hizi hisia
Karibu ndani naumia yeeah

Nasema jambo jambo mama
Habari gani nzuri sana
Ukiniacha ntaumia
Mwenzio nshakuzimia
Nasema jambo jambo mama
Habari gani nzuri sana
Ukiniacha ntaumia
Mwenzio nshakuzimia

Without you
Without you
Love me o I can’t be
Without you
Without you
No steve rnb
Without you
Without you
Love me o I can’t be
Without you
Without you
No steve RnB

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI