MISTARI YA WIMBO HUU

Eoo
Oweoh eee ooh

Nitokako si kutamu
Dharau na masengenyo ndo zililtawala
Sikuwa na hamu yote nilipokea na kusema ye wala
Hakujua sasa wa kumtusi mamba aja uvuka mto
Akajua upole na upendo wangu ndo umekosa soko
Daily sikutaka kuamini (kuamini)
Yeye ni wa kunitesa mimi (oh oo)
Daily sikutaka kuamini iiih
Yeye ni wa kunitesa mimiii

Nenda zako nenda zako nishatulia hello
Sasa yupo sasa yupo anaeulea moyo
Nenda zako nenda zako nishatulia hello
Sasa yupo sasa yupo anaeulea moyo

Naomba ujichunge (we jichunge)
Usibadilike ukawa kama yule (kama yule)
Baby naomba ujichunge (jichunge)
Usibadilike ukawa kama yule

Sasa umejua kwanini siwezi ondoka kwako
Ndo maana nimekula yamini tena nakula kiapo
We ndo wa mwisho kupendwa na moyo wangu
Sihitaji tena kupepesa macho yangu
Karibu hata mbali penzi naomba uchunge
Vishawishi vya mbali visiondoke nawe
Daily uwe furaha ya mimi (ya mimi)
Na uwe zaidi ya raha ya mimi (ya mimi)
Daily uwe furaha ya mimi iiih
Na uwe zaidi ya raha ya mimii ee eeh

Eoo eeeohh
Oweoh eee ooh
Uuuh eeeh

Naomba ujichunge (we jichunge)
Usibadilike ukawa kama yule (kama yule)
Baby naomba ujichunge (jichunge)
Usibadilike ukawa kama yule

Wuuuh eee eeh
Naomba ujichunge (we jichunge)
Usibadilike ukawa kama yule (we kama yule mpenzi)
Baby naomba ujichunge (naomba ujichunge)
Usibadilike ukawa kama yule (kama yule)

Wewe kama yulee
Usifanane nae
Kama yule naomba ujichunge
Kama yulee ee baby
Kama yulee eee bway
Ee eeeh Baraka
Oh oooh Tetemesha
Uh eeeh Nazda
Oh oooh (Nazda)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU