MISTARI YA WIMBO HUU

Unaweza kuwa dokta unaweza kuwa star
Unataka kuwa Linah unaweza kuwa Shaa
Kipaji mali yako elimu Ngao yako
Usiache jambo kati kwenye maisha yako
Unaweza kuwa Diamond unaweza kuwa Jay
Unaweza kuwa JB unaweza kuwa Ray
Mi nakuasa it’s your time
Huwezi kuwa chini you’ve got somethin’ special
Unampenda Lady Jay Dee unamzimia Zitto
Trust me iko siku utatimiza ndoto yako
You can be a boss you can be a lawyer
You can be the president
You’ll be successful

Wakati wako ndio leo leo
Kutimiza malengo yako
Nakusihi anza sasa sasa
Jishughulishe utapata

Wakati wako ndio leo leo
Kutimiza malengo yako
Nakusihi anza sasa sasa
Jishughulishe utapata

Utavunja vunja miamba hamisha milima
Vikwazo lazima nawe usirudi nyuma
You’ll be a hero you can be the best
You can be a leader (dedicate yourself)
Tanzania ni yako penda watu wako
Kuwa mfano bora kwenye jamii yako
Star Kama AY kufika alipo FA
Inawezekana if you work hard in it
Na utafika mbali utazame ulikotoka
Mbunifu mwenye hadhi kama Hadija Mwanamboka
Unaweza kuwa rubani unaweza hakimu
Unataka kuwa Salama unaweza kuwa Hasheem

Wakati wako ndio leo leo
Kutimiza malengo yako
Nakusihi anza sasa sasa
Jishughulishe utapata

Wakati wako ndio leo leo
Kutimiza malengo yako
Nakusihi anza sasa sasa
Jishughulishe utapata

You can be a champion (jikubali)
You can be a teacher (jikubali)
You can be a leader (jikubali)
You can be a preacher (jikubali)

You can be a champion (jikubali)
You can be a teacher (jikubali)
You can be a leader (jikubali)
You can be a preacher (jikubali)

Yeah yeah
Aaa aah

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU