MISTARI YA WIMBO HUU

Asubuhi
Na mapema
Nazizi na mini packs mi napewa
Vodka safari merry cane ama beehive
Leta zote mpaka bar zi-run dry
Usiku ukifika
Hakuna kupumzika
Leta tot nyingine nianze kukatika
Party haijaanza na chapaa zimekatika
Mpaka mini packs mpaka fegi mpaka reefa
Uh-oh reggae kweli leo nitafika
Na bado sina benz hata beemer wala dinga
Ati nani boyfriend anaringa
Achana na ye
Leo nita-dance na mwengine

Kama inabamba kwenye dancefloor
Rusha mikono kwenye hewa juu
Juu
Juu
Kama inabamba kwenye dancefloor
Rusha mikono kwenye hewa juu
Juu
Juu

Mwendo si wa kasi dada
Sikiza tu upate ladha
Najua ni kitambo tangu ujipate kwenye dancefloor
Ni necessary noize wanaleta mo faya
Wimbo ukicheza you’re getting more higher
What a long time dem uh waiting be in tune
Lyrical seduction in your ear
Little boy and gal dem uh wining to me snare
Your speaker we uh tear
In di party game we uh number one player

Kama inabamba kwenye dancefloor
Rusha mikono kwenye hewa juu
Juu
Juu
Kama inabamba kwenye dancefloor
Rusha mikono kwenye hewa juu
Juu
Juu

Wacha moto ukubambe
Kabla bouncer akuhande
Na bila nare blaze itawashwa na zale
Ok ni ashu mfukoni
Blaze mdomoni
Barley mkononi
Da da da di da
Toka hanye mpaka kwa mitaa
Necessary noize twaleta raha
Sawa madame kujeni m-follow the beat
Kama mmeng’ara sneakers ama high heels
Kama una dreadlocks ama na weave
Kama una miniskirt ama ni tight jeans
Kama una english figure
Ama na hips
Lipstick kwenye lips
Makeup kwenye cheeks
It don’t matter
Kama ni bata ama nike kicks
Tuingie hanye na mathree ama

Kama inabamba kwenye dancefloor
Rusha mikono kwenye hewa juu
Juu
Juu
Kama inabamba kwenye dancefloor
Rusha mikono kwenye hewa juu
Juu
Juu

Machali na madame ka mwapenda hii riddim sema
Album ya pili mwai-feel sema
Lovechild
Nazizi kwenye beat sema
Uh more
Blaze it up
Machali na madame ka mwapenda hii riddim sema
Album ya pili mwai-feel sema
Lovechild
Nazizi kwenye beat sema
Uh more
Blaze it up

Kama inabamba kwenye dancefloor
Rusha mikono kwenye hewa juu
Juu
Juu
Kama inabamba kwenye dancefloor
Rusha mikono kwenye hewa juu
Juu
Juu

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI