MISTARI YA WIMBO HUU

Lambwa laambwa lambwatika
Maharage yako jikoni nimeshayapika
Nangojea sukari ya bwana haijafika
Lambwa laambwa lambwatika
Maharage yako jikoni nimeshayapika
Nangojea sukari ya bwana haijafika
Lambwa laambwa lambwatika
Maharage yako jikoni nimeshayapika
Nangojea sukari ya bwana haijafika

Vumiliia jirani usijentonesha kidonda
Vumilia we jirani usijentonesha kidonda
Vumiliia jirani usijentonesha kidonda
Vumilia we jirani usijentonesha kidonda
Vumiliia jirani usijentonesha kidonda
Vumilia we jirani usijentonesha kidonda
Vumiliia jirani usijentonesha kidonda
Vumilia we jirani usijentonesha kidonda

Aah dakitari huyo yuaja ajakitia dawa kidonda
Ajakitia dawa
Kidondaa
Ajakitia dawa
Kidondaa
Ajakitia dawa
Kidondaa
Ajakitia dawa
Kidondaa
Ajakitia dawa
Kidondaa

Kachirii kachirii
Saga
Kachiri leo kachiri
Saga
Kachiri mama kachiri
Saga
Mume wangu kasafiri
Saga
Kaniachia kigoma
Saga
Na mtindo wa hariri
Saga
Kaniachia korola
Saga
Na madola teletele
Saga
Na kidani cha dhahabu
Saga
Na kiatu cha kokoko
Saga
Kisimu cha mkononi
Saga

Kachiri kachiri
Kachiri kachiri
Buzi langu limo ndani
Na kamba yake shingoni
Melifunga kiguzoni
Mchunaji una nini
Katafute vingunguti
Buzi langu hulipati
Kachiri
Saga
Kachiri
Saga
Kachiri
Saga

Mama kanambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa makandawira
Wene makandawira (inawene makandawira ina wene)

(makandawira ina wene makandawira)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI