MISTARI YA WIMBO HUU

Konde Boy
They call me Burna
It’s Platnumz

Eeh eeh eeh eeh
You de make me sit down sing this song (lala lala)
You come to make me feel like i do you wrong (jaga jaga)
If you want am a go give you more (jana jana)
Today today You go give me love (sawa sawa)

Eeh eeh
Nasifiwa kwa mapenzi na mademu
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Burna Boy chata kila sehemu
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Nasifiwa kwa mapenzi na mademu
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Konde Boy chata kila sehemu
Wanapagawa mpaka wananiita

Hadi Kaburu kwa Mandela rudi kwa bibi Kinondoni
Amber Lulu kunja dera mwanangu Gigy simuoni
(Aje) ainama
(Mama) ainuka
(Baby show them) ainama
(Ehee)
Aishika ukuta
(Waonyeshe ulivofunzwa) ainama
(Iih go down baby) ainuka

She de burst my mind ooh ooh
Nobody sexy like my baby
Tena mwepesi akiwa kwa bed
Iih
Hadi Kaburu kwa Mandela rudi kwa bibi Kinondoni
Amber Lulu kunja dera mwanangu Gigy simuoni
(Aje) ainama
(Mama) ainuka
(Baby show them) ainama
(Ehee) aishika ukuta
(Waonyeshe ulivofunzwa) ainama
(Iih go down baby) ainuka
(Give it to them baby) ainama
(Ehee) aishika ukuta

Brooke (Ruksa Kutunza)
Oh God Damn ntoto nyaupole
Ana vimacho mlegezo gorole
Katika gemu funga tu goli
Hatumalizagi mchezo ka Igoli
Kilima Kilima (panda kilima)
Bebi kilima
Kisima kisima (mamba kisima)
Naingia kisima
Nizame mpaka chini Ooh Oho Oho
Ebo yaani katoto kachafu kama bata
Eeh eeh
Aaah Aaah nami nakafanya ndafu nakang’ata
Salamu ziende Wanjara Don Masha kitasa kwenyevu nyevu
Waambie simba kacharara anataka msambwanda kwa buku jero

(Aje) ainama
(Mama) ainuka
(Baby show them) ainama
(Ehee) aishika ukuta
(Waonyeshe ulivofunzwa) ainama
(Iih Go down baby) ainuka
(Give it to them baby) ainama
(Ehee) aishika ukuta
(Iih) ruksa kutunza

Eeh eeh
Nasifiwa kwa mapenzi na mademu
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Burna Boy chata kila sehemu
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Brooke
Nasifika kwa mapenzi na mademu
Wanapagawa mpaka wananiita handsome
Simba mabishoo huniita shemu vile mademu zao nawapita
Handsome

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU