MISTARI YA WIMBO HUU

Oh cherie
Usione nachelewa
Mwenzako nafanya mipango
Tupate riziki kidogo
Yo mamii
Usione nachelewa
Yote sababu mipango utasubiri kidogo
My moonlight
My sunshine
My moonlight
My moonlight
My sunshine
My moonlight
Nimekuwa kama daladala
Kutwa kuchwa kwa barabara
Kuzichanga hizo gwalagwala nikutunze mama
Nimekuwa kama daladala
Kutwa kuchwa kwa barabara
Kuzichanga hizo gwalagwala nikutunze mama

Basi mamii ooh
Kajiandae
We jiandae andae
Vunja kabati kidogo
Kajiandae
We jiandae andae
Basi mamii ooh
Kajiandae
We jiandae andae
Nikutoe out kidogo
Kajiandae
We jiandae andae
Mimi nakuja oooh
Kajiandae
We jiandae andae
Kuna foleni kidogo
Kajiandae
We jiandae andae
Mamii mamii ooh
Kajiandae
We jiandae andae
Nimepata visenti kidogo
Kajiandae
We jiandae andae
Kajiandae

Imeandikwa kila mtu na msalaba wake
Na we ndio ndo roho yangu mi nataka utoke
Alichonipa Mungu mimi unakijua
Sina haja ya kujitutumua nikaumia
Ile saa aloniachia babu unaikumbuka
Mimi niliuza jana ili tupate pesa
Kwanza uvae upendeze na tabasamu lako
Uhai kwangu mimi kwenye upini wako
Mshahara bado mashaka kazini sijalipwa
Liwezekanalo leo lisingoje kesho
We ndo raha yangu
Na mimi ndo raha yako
Umejawa roho yangu
Kajiandae

Basi mamii ooh
Kajiandae
We jiandae andae
Vunja kabati kidogo
Kajiandae
We jiandae andae
Basi mamii ooh
Kajiandae
We jiandae andae
Nikutoe out kidogo
Kajiandae
We jiandae andae
Mimi nakuja oooh
Kajiandae
We jiandae andae
Kuna foleni kidogo
Kajiandae
We jiandae andae
Mamii mamii ooh
Kajiandae
We jiandae andae
Nimepata visenti kidogo
Kajiandae
We jiandae andae
Kajiandae

Wewe na mimi mimi ooh
Ujiandaee ooh
Najua siku moja moja raha
Si haba uko nami
Kajiandae
We jiandae
We jiandae andae
We jiandae
We jiandae andae
We jiandae
We jiandae andae
We jiandae
We jiandae andae

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU