MISTARI YA WIMBO HUU

Nenda kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi
Nasema kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa

So ningeamuru nyota na mbalamwezi
Viwe mali yake yeye
Natamani ila tatizo siwezi
Huenda ingefanya anielewe
Ah ona, si alinifunza mapenzi
Nlikuwa sijui kamwambie
Akanidekeza kishenzi
Kwa nyimbo nzuri nimuimbie

So asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia
Akalishusha thamani penzi nalompenda kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia mmh
Mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia
Ee yeah

Nenda kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi
Nasema kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi

Nasema siku hizi wala hakuna fungate
Mapenzi hayana thamani
Hivyo mwambie wanaopenda wachache
Wengi wanatamani
Uuh wanaanzaga kwa tafadhali, wakishapewa wanapotea
Nenda mwambie ajihadhari na dua njema namuombea

So asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia
Akalishusha thamani penzi nalompenda kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia mmh
Mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia
Ee yeah

Kamwambie, kamwambie
Kamwambie, kamwambie
Kamwambie, kamwambie
Kamwambie, kamwambie

Nenda kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi
Nasema kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI