MISTARI YA WIMBO HUU

Mikumi stand up
Oii baba weka weka weka weka sheikh
Hii ndo vile Mwamba hainaga kudevela devela
Eeh nganga nganga kazi ya mtu lawama
Au siyo weka weka oii mama

Twende tena mzee wa kazi kazi
Kazi kazi kazi kazi
Mtu unafanya kazi kazi
Vijana wote kazi kazi
Haina kumbwela kazi
We tupige kazi kazi
Profesa Jay shujaa anapiga kazi
Meseni shujaa anafanya kazi
We Sholo Mwamba shujaa mi napiga kazi

Ni sauti ya kweli
Iskilize usikejeli
Nasemeza semeza
Tena wanangu Hiphop Singeli
Nasimamia kwenye ukweli
Sio mbio za Tom na Jelly
Maisha kama kioo ukisema haufeli haufeli
Eee bwana situka wakati unayoyoma
Mwanangu tupa cha ukucha
Mamwela wamezagaa chali yangu
Kumesha kucha shapu
Tukapige kazi
Damu yangu hapa ni mzuka juu ya mzuka
Kimeshanuka shafu yangu
Usikate tamaa kwakuwa jana umelala njaa
Baharia komaa juhud zako ndio silaha
Wewe ni shujaa fanya kazi yako
Kwa ufasaha wewe ni staa wa kitaa mbona unajikataa
Wa Mitulinga kutoka Ghetto mpaka mjengoni
Inawezekana fanya kweli usi ishi ndotoni
Penda unachofanya kazi kazi
Iweke moyoni aliyeko juu mfuate
Juu risiki uitie mfukoni

Twende tena mzee wa kazi kazi
Kazi kazi kazi kazi
Mtu unafanya kazi kazi
Vijana wote kazi kazi
Haina kumbwela kazi
We tupige kazi kazi
Profesa Jay shujaa anapiga kazi
Meseni shujaa anafanya kazi
We Sholo Mwamba shujaa mi napiga kazi

Tunaupeleka mziki wa singeli
Kwenda international
Acha kubeba mapanga Majita
Sema mapanga no
Ngoma hizi ndo zetu ngoma za Uswazi
Unaweza kucheza kiduku mdundiko
Usimwage radhi
Saka Ela
Saka saka mapene kitaeleweka
Unaishia kupiga mizinga maskani
Dogo utachekwa
Ninapokuletea ujumbe huu nia yangu
Nataka nataka na wewe
Ufanikiwe haba na haba ujaza kibaba
Juhudi ufanya ndoto ziwe

Vipi mzee wa kazi Mesen acha kuzima mziki
Weka tucheze singeli baharia mamaa
Jamani weka weka weka weka baharia
Twende we kamatia chini kwa chini ni mwendo singeli
We kamatia chini kwa chini cheza singeli
we kamatia chini kwa chini ni mwendo singeli
We kamatia chini kwa chini cheza singeli
We singeli we singeli
Wanachezaje singeli
We singeli aya Mikumi singeli
We singeli
Wanachezaje singeli
We singeli
Na mheshimiwa singeli
We singeli
Wanachezaje singeli
we singeli
Haya Wanangu singeli
We singeli
Na Kinondoni singeli
We singeli
Haya Ilala singeli
We singeli
Kule Temeke Singeli
We singeli
Wanachezaje singeli mamamaa

We mabawa weka wekaa
we mabawa we mdogo mdogo mabawa
we mabawa wanachezaje mabawa
We mabawa we mdogo mdogo mabawaa
Wanangu wanainamaaa inuka
Masela wanainama inuka
Wanangu wanainamaaa inuka
Twende tena nikilewa nakata nyonga
Mwanangu anakata nyonga
Wahuni wanakata nyonga
Mwanangu chambia ndoo kiuno
chambia ndoo kiuno
We mama chambia ndoo kiuno
Chambia ndoo kiuno
Mwanangu chambia ndoo kiuno
Chambia ndoo kiuno
Mwanangu chambia ndoo kiuno
Chambia ndoo kiuno
We mama kanituma nikanunue kuku wa kiume
We mama kanituma nikanunue kuku wa kiume
Yule demu gumegume ameachika kwa mume
Jamani

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU