MISTARI YA WIMBO HUU

Kwanza umejazika kama mlima Kitonga
Mpaka mabitozi wanajigonga
Figure matata na kweli umekwenda skonga
Je napokumiss naku-call tunabonga
Hello we ndo mamito
Amini mi ndo papito
Okay we ndo mamito
Achana nao ya dunia yote mapito
Okay yes we ni bonge la demu
Hata machizi wamesema bonge la shem
We ni bonge la demu
Tupendane tupeane yaani kila sehemu

We ndo Mama Kayla
Of course mi ndo Baba Kayla
Amini we ndo Mama Kayla
Achana nao wanaokufata wote ni taila

We ni wangu tu
Tena waambie watuache tulale
We ni wangu tu
Usije niacha nikachekwa na wale
Ona naimba
Kerewa kerewa (ayaya)
Kerewa kerewa (ayaya)
Kerewa kerewa (ayaya)
Ah kerewa aya ya ya
Kerewa kerewa (ayaya)
Kerewa kerewa (ayaya)
Kerewa kerewa (ayaya)
Ah kerewa aya ya ya

Yoh umenipa nafasi sitaki nikosee
Sitaki mwendo kasi sitaki nipotee
Changanya kila kitu mpaka nikolee
Mi ni wako kila siku nipokee eh
Jua kweli nakupenda mama
Siwezi kukuigizia drama
Vicheche nawakatalia sana nafurahia pia unabania wana
Mpaka wanga wanasema hunifai kabisa
Wanatamani nikuache kwa visa
Wengine wanataka nikuuze ka hisa
Ila mchizi nimegoma sikuachi kabisa

Oh yeah we ndo Mama Kayla
Of course mi ndo Baba Kayla
Amini we ndo Mama Kayla
Achana nao wanaokufata wote ni taila

We ni wangu tu
Tena waambie watuache tulale
We ni wangu tu
Usije niacha nikachekwa na wale
Ona naimba
Kerewa kerewa (ayaya)
Kerewa kerewa (ayaya)
Kerewa kerewa (ayaya)
Ah kerewa aya ya ya
Kerewa kerewa (ayaya)
Kerewa kerewa (ayaya)
Kerewa kerewa (ayaya)
Ah kerewa aya ya ya

Sa usiniumize basi (ayaya)
Ukanipa wasi wasi (ayaya)
Ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)
Moyo ukanienda kasi (ayaya)
Ah usiniumize basi (ayaya)
Ukanipa wasi wasi (ayaya)
Ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)
Moyo ukanienda kasi (ayaya)

Ah si unajua wenye chuki na hiyana
Wametukania sana sana usiku na mchana
Wakiomba kuachana

So usiniumize basi (ayaya)
Ukanipa wasi wasi (ayaya)
Ah kaugonjwa ka nafsi (ayaya)
Moyo ukanienda kasi (ayaya)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI