MISTARI YA WIMBO HUU

Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama

Kwanza kabisa ntanyonga tai
T-shirt na jeans ntatupa kidogo
Uniite Nasibu usiniite Dai
Asije kukuona muhuni akapandisha Mbogo
Naukifika uagize Chai
Savanna, Takila uzipe kisogo
Kuhusu mavazi kimini haifai
Tupia pendeza ila za kinoo

Even though
Wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo
Chaguo langu sasa wanicheke

Even though
Wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo
Chaguo langu sasa wanicheke

Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama

Na usilete swaga za Nai Nai
Ukanyoa kiduku kama Moze Iyobo
Eti shoping twende Tai
Wakati dada ‘angu anaduka Kigogo
Ukikuta Nguna usikatai
We zuga unapenda hata kama wa muhogo
Kuhusu kabila mbona Sadai
Mama angu hana noma hata kama mgogo

Even though
Wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo
Chaguo langu sasa wanicheke

Even though
Wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo
Chaguo langu sasa wanicheke

Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama

Mama yangu mama
Mama Nasibu mama
Mama Diamond mama
Mama yangu nyumbani
Mama Chali mama
Mama Sepetu mama
Mama Kidoti mama
Kwa mama Diamond nyumbani

Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama
Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI