MISTARI YA WIMBO HUU

Tupo na furaha mziki umetupa pesa
Q Boy mwambie Mose Iyobo nahitaji dancer
SGS
Come on lete Serebuka
Sound Touch touch
Harmorapa

Harmorapa kiboko ya mabishoo
Mjini nanuka kama vile choo
Harmorapa kiboko ya mabishoo
Mjini nanuka kama vile choo

Nimetoka Mtwara mbale
Now nipo Dar mi nasaka money
Check navyong’ara hatare
Majungu na maneno mi sijale
Tulikuwa wasafi kabla ya WCB
Maneno yao machafu hayanivunjii CV
Navyopanda chati wanapata BP
Yule mshamba ni nani anaoongea
Kuhusu me
Et mi ni nyani ye ni sokwe nguruwe
Aunt mpe vipodozi na bwana ako ajichubue
Unaongea kuhusu nini
Mpaka wewe mkata viuno na we unaongea kuhusu mimi (mfyuuuu)

Harmorapa kiboko ya mabishoo
Mjini nanuka kama vile choo
Harmorapa kiboko ya mabishoo
Mjini nanuka kama vile choo

Tunapiga mziki watu wote wanajua
Tukitimba stejini nadhani kazi yetu unaijua
Tunajirusha hawatotukuta
Tunajirusha hawatotukutaa milele

Tupo na furaha mziki umetupa pesa
Q Boy mwambie Mose Iyobo nahitaji dancer
Now nipo gym natengeneza sexy body
Ooh thanks God
Kutoka kwa mguu mpaka leo na drive
Karibu Harmorapa style hizi
Wananiita Harmorapa role model wake Harmonize
Wanaonidisi sihofii
Niite underground kesho niombe selfie
Sitafuti Kiki natafuta bingo
Wewe lilipigwa nikapita
Wewe ndo demu wao wa skendo (demu wao wa skendo)

Harmorapa kiboko ya mabishoo
Mjini nanuka kama vile choo
Harmorapa Kiboko ya mabishoo
Mjini nanuka kama vile choo

Tunapiga mziki watu wote wanajua
Tukitimba stejini nadhani kazi yetu unaijua
Tunajirusha hawatotukuta
Tunajirusha hawatotukutaa milele

Kula wale wao tukila sisi kidogo tu ni karaha
Hahahahahaa
Mmechemkaaaaa
Na hizi ndo zetu wazee wa mapokopoko
Na manjali maugali
Hiki ni kichwa kipya kabisa
Kama kalandambwa

Harmorapa Kiboko ya mabishoo
Mjini nanuka kama vile choo
Harmorapa Kiboko ya mabishoo
Mjini nanuka kama vile choo

Tunapiga mziki watu wote wanajua
Tukitimba stejini nadhani kazi yetu unaijua
Tunajirusha hawatotukuta
Tunajirusha hawatotukuta milele

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI