MISTARI YA WIMBO HUU

B Records material baby
Oiyooo oh
Tap tap tap tap

Bugalez

Ni bahati ya pekee
Kukupata ewe kimwana
Vipi nijielezee
Mbele nawe
Yeeeh yeh (yeh)
Nguzuka nguruvi nange
Nkugulila kitenge
Nguzuka nguruvi nange
Nkugulila kamutuka

Zaina eh zaina eh
Watasema watalala
Zaina eh zaina eh
Wakiamka twapendana

Aaaah ya ya yah
Mbele nawe
Hata nilale niamke
Mbele nawe
Asubuhi mpaka jioni
Sitokuchoka
Nimesema nimesema
Mbele nawe
Eeh eh mbele nawe

Aiya yah yah yah
Iyoo abazaeni bashemelelwa bamaua na katekuruza
Yeh mbele nawe

Moyo wangu kichaka
Wahifadhi vingi
Wala sina mashaka
Kuruka vigingi
Tukila ugali na mlenda tumefulia
Watuache kidogo
Tusifanye mtoko kidogo waturingishia
Watuache kidogo
Kwenye mitandao hamchoki kufuatilia
Watuache kidogo
Watuache watuache eh
Watuache kidogo
Watuache watuache eh
Watuache kidogo

Zaina eh zaina eh
Watasema watalala
Zaina eh zaina eh
Wakiamka twapendana

Yeh yeh yeh
Propo propo propo propo
Wanadamu hawaishi ropo (propo)
Kila wakikucha ropo (propo)
Mambo yetu hayalali ka zege
Haki ya nani haki ya nani baby
Haki ya nani wanaona gere
Sijipangi ili twende saw (wawa)
Najipanga ili niende saw (wawa)
Wata ya watu kupaga (wawawa)
Eh haki ya nani haki ya nani baby
Haki ya nani wanaona gere
Mambo yetu hayalali ka zege
Oh baby baby oh baby baby

Awo kughamba baghambe eh baghembe muno
Awo kuteka bate eh bateke bateke
Awo kughamba baghambe eh baghambe muno
Awo kughamba barame eh barame barame
Eh urewame (ah urewame)
Yamusakacha machala yamusakacha
Sagala sagala
Kiboko ya kimachila
Yamusakacha machala yamusakacha
Sagala sagala
Kiboko ya kimachila
Awo kughamba baghambe eh baghembe muno
Awo kuteka bate eh bateke bateke
Awo kughamba baghambe eh baghambe muno
Awo kughamba barame eh barame barame

Moyo wangu kichaka
Wahifadhi vingi
Wala sina mashaka
Kuruka vigingi
Tukila ugali na mlenda tumefulia
Watuache kidogo
Tusifanye mtoko kidogo waturingishia
Watuache kidogo
Kwenye mitandao hamchoki kufuatilia
Watuache kidogo
Watuache watuache eh
Watuache kidogo
Watuache watuache eh
Watuache kidogo

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI