MISTARI YA WIMBO HUU

Ni mama asiyependa shobo
Ni bado mdogo huyo
Usimshike kumpa tabu ana mikogo huyo
Mume wake nipo karibu hachezi na we
Hata kama mzuka unapanda usibagawe
Nimegharamia mpaka kaingia, mtoto mia mia mbona ulia
Unamdanganya kwa pesa eti wewe milionea
Kumbe ni bwege tu, kicheche tu
Unadanda juu na unataka kumpitia
Eti nonini ni nani anayekuona eeh
Eti nonini ni nani anayekuona eeh
Eti nonini ni nani anayekuona eeh
Eti nonini ni nani anayekuona
Kumbe mimi ndo baba mwenye mke unaniuliza
Ukimsumbua shori wangu unaniumiza eh
Anacheza kidaluso panda, kidaluso panda panda

Kidaluso (panda)
We kidaluso (panda panda)
We kidaluso (panda)
We kidaluso (panda panda)
Kina Mwajuma Ndala-kubwa ndio kawa-overtake
Wa kwangu mimi mwache kiuno akate
Ninatumia body spray na si mafuta ya nazi
Ufatilie, ufatilie ufanye kazi
Mzee wa mapoko poko na manjali, maugali
Van’tete va kuntanzanie

Mke wangu mkaree (eh gusa unaswe)
Anacheza kivyake (eh gusa unaswe)

Hana shobo na mtu (eh gusa unaswe)
Anajichana makuku (eh gusa unaswe)
Hana shobo na mtu
Anajichana makuku

Mmh, gusa
Mtoto mkali kipusa
Kwa majina niite Mussa
Mh Kidosho nipe fursa
Nishakuwa tabu
Mtoto una rangi ya kiarabu
Shingo kali jaza dhahabu
Kugusa kapata sababu
We gusa unaswe
Nipo mwenyewe nikukamate
Vya wenyewe we usifate (fate)
We usifate (fate)
We gusa unaswe
Nipo mwenyewe nikukamate
Vya wenyewe we usifate (fate)
We usifate (fate)

Kidaluso (panda)
Kidaluso (panda, panda)
Kidaluso (panda)
Kidaluso (panda, panda)

Kidaluso (panda)
Kidaluso (panda, panda)
Kidaluso (panda)
Kidaluso (panda, panda)

We kidaluso
Kidaluso, we kidaluso
We kidaluso

Mke wangu mkaree (eh gusa unaswe)
Anacheza kivyake (eh gusa unaswe)

Hana shobo na mtu (eh gusa unaswe)
Anajichana makuku (eh gusa unaswe)
Hana shobo na mtu
Anajichana makuku

Haya (aa am)
Haya (naam)
Haya (naam, naam, naam)
Van’tete va kuntanzaniano foma mwintu tonyenane kimaba (woyo, woyo woyo)
Eeh Kenyaniano foma mwintu nontana jaji baba (jembe, jembe, jembe)
Woyo, woyo woyo
Woyo, woyo woyo
Hush, hush, hush, hush, hush
Imma, the big boy, manager
Mke wa mtu, usikodoe macho
Mke wa mtu unakodoa macho
Wewe (lete, lete, lete)
Wewe (lete, lete)
Wewe
Humo, lete ndogo lete
Humo lete, ndogo lete

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI