MISTARI YA WIMBO HUU

Eyoo Laizer
Wasafi Records

Unaringa kitu gani
We mwenyewe ujisute
Afadhali hata nyani
Sio we mwanamke
Hupendezi asilani
So unyoe au usuke
Nilifuata kitu gani
Umefanya nijute
Hah
Mimi nakonda pungua eeeh
Na usikurupuke
Kwanza naongea na nani
Naomba nikumbushe
Mimi na wewe hatuendani
Jipandishe jishushe
Usinipande kichwani
Namba yangu ifute

Hizo dharau
Mwanamke ulopata
Naona unasahau
Zako nilikata
Nimepanda chati
Mkataba nimekata
Tena nyang’au
Ndo ukome kunifuata

Unaringa una nini
Kijuso
Vijimeno kama Jini
Gaucho
Kwani nawe una nini
Kituko
Uso na kazi mjini
Upo upo
Punguza kelele ooh kelele
Acha kelele mama kelele
Punguza kelele baba kelele
Acha kelele bwana kelele

Eti nawe unavimba
Perfume tu mtihani
Kwanza shati ulovaa
Umeazima kwa nani?
Wanifuataa kapuku
Utanipa nini?
Wanifuataa leo
Kimekuwasha nini?
Funga bakuli
Mbele yangu wewe mshamba
Nakujua vizuri
Toka unavaa mabwanga
Wakati unanuka moshi huna hata ishu
Kwenye pochi wanja na tishu
Unapenda ganda la ndizi
Kuteleza
Wakati kupambana mpaka mchuzi wa Pweza
Dume zima tantalantala instagram inahu
Wakati kwenu kula kulala
Huchangii hata kitunguu

Hizo dharau
Mwanamke ulopata
Naona unasahau
Zako nilikata
Nimepanda chati
Mkataba nimekata
Tena Nyang’au
Ndo ukome kunifuata

Unaringa una nini
Kijuso
Vijimeno kama Jini
Gaucho
Kwani nawe una nini
Kituko
Uso na kazi mjini
Upo upo
Punguza kelele ooh kelele
Acha kelele mama kelele
Punguza kelele baba kelele
Acha kelele bwana kelele

Hizo dharau
Mwanamke ulopata
Naona unasahau
Zako nilikata
Nimepanda chati
Mkataba nimekata
Tena Nyang’au
Ndo ukome kunifuata

Unaringa una nini
Kijuso
Vijimeno kama Jini
Gaucho
Kwani nawe una nini
Kituko
Uso na kazi mjini
Upo upo
Punguza kelele ooh kelele
Acha kelele mama kelele
Punguza kelele baba kelele
Acha kelele bwana kelele

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI