MISTARI YA WIMBO HUU

Sijui ntasema nini natamani kumwambiaga
Ana mapenzi ya mjini leo pizza kesho burger
Zawadi zangu ni gauni na hereni za mnada
Asinifanye katuni anionjeshe aje nimwaga

Agah si unajua watoto wa mjini mapenzi kwao ni utani
Leo ni tamu tekenya kesho ntamwita kizani
Si unajua watoto wa mjini mapenzi kwao ni utani
Leo ni tamu tekenya kesho ntamwita kizani

Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi

Labda unikate ulimi ndo nishindwe kusemaga
Hata na maskini mimi nahitaji na msaada
Thamani ya vyuma chakavu ndo penzi langu asini-delete
R sina na ubavu ndoto zangu zisiwe hadithi

Agah si unajua watoto wa mjini mapenzi kwao ni utani
Leo ni tamu tekenya kesho ntamwita kizani
Si unajua watoto wa mjini mapenzi kwao ni utani
Leo ni tamu tekenya kesho ntamwita kizani

Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi
Kila akitaja na mi nimo
Mapenzi anipe na mimi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI