MISTARI YA WIMBO HUU

Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau

Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau

Sipigi chuma piga chuma uje unilinde baunsa
Mwili nauanika mithili ya pombe za kaunta
(Zaiid umekondaa) yo kama vipi kausha
Wanasema vingi machizi ili wapande dau saa
Mara mla powder mara utangoja
Kunenepa hunenepi milele na wako louder
Natoka kipapaa  kichapaa nakita pah
Natuna kama papa nna mwili wa kidagaa
Nikishavaa bling nawaka kwa kila taa
Wananishangaa mchizi nnayotaka sifa saa
Kimbaumbau mi zao lao
Wenye afya ndogo na hiki ndo kibao chao waah

Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau

Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau

Minakula pens mguu kama njiti
Unasema ati duu hazimiki
Hey hawapimi mziki
Wembamba wa reli kila tani naidhibiti
Ulidhani huu wembamba bas kinga itapwaya no
Nikiwa dimbani huwa minapiga waya more
Haya ndo matunda ya wembamba kwenye himaya so
Kariakoo Mwenge nanesa na niko faya joh
Kila engo
Fidodido swagg wanakaa kila tembo
Kila upendo
Fidodido swagg hini flag kila engo
Kimbaumbau mi zao lao
Wenye afya ndogo na hiki ndo kibao chao waah

Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau

Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau

Piga nondo kisha piga modo
Mi napiga nyodo mana
Kimbaumbau
Piga zogo mi napiga tobo
Kwenu napiga logo haah
Kimbaumbau
Nikitembea mini
Kimbaumbau
Mikogo ya kitosha mana
Kimbaumbau
Kwa wanangu wote
Kimbaumbau
Ukiwa afya ndogo we ni
Kimbaumbau

Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau

Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Fidodido swagg
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau
Kimbaumbau

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI