MISTARI YA WIMBO HUU

Kimya kimya
Kimya kimya
Kimya kimya

Ring ring napigiwa simu tone (kimya kimya)
Niko zangu Kapadona na machizi tunachoma
Nasogea pembeni niweze kuipokea (kimya kimya)
Kumbe Ngwair
Yes
Ebwana inakuwaje mtu mzima

Shh
Kimya kimya njoo Mbezi kwa kina Mima
Kuna bonge la pati mazee la kimya kimya
Mashori wamedondoka toka State kimya kimya
Ka vipi usiage mtu we chomoka kimya kimya

Okay
Haina noma siagi mtu nachomoka (kimya kimya)
Ngoja kwanza niende home nika-change (kimya kimya)
Nipe dakika 20 mwendo wa taxi (kimya kimya)
Niambie mko pande gani
Vipi nyasi tutachoma

Shh
Jiheshimu joh weed tutachoma
Kimya kimya we msomeshe Kapachino kwenye kona
Akupe kitu cha Arusha
Mi nnacho cha Dodoma
Usisahau kutoka bling tu
Hovak wamenisoma

Shh
Jiheshimu tayari nimeona
Wapi muhudumu Castle (kimya kimya)
Kweli nimeamini kweli hii ni pati ya (kimya kimya)
Glass zote hewani bila mlio cheers (kimya kimya)

Mima kanishtua ameshaandaa dinner
Kavipi twenzetu juu tukabonyee (kimya kimya)
Kisha ndo kwa same tukamoke kiaina
Pembeni Taikuni Ali yaani sharo tina tina

Kama unataka kucheza basi cheza (kimya kimya)
Kama kupiga mitungi basi piga (kimya kimya)
Kuna demu umemzimia poa mfate (kimya kimya)
Hii ni pati ya kimya kimya
Kila kitu kimya kimya

Shh taratibu cheza (kimya kimya)
Shh mbona unaharibu cheza (kimya kimya)
Kama kinywaji kimeisha basi agiza (kimya kimya)
Kila kitu kimya kimya
Hii ni pati ya kimya kimya

Yeah ndani matawi ya juu kama juu
Brazameni sista duu mikono juu (kimya kimya)
Mawazo na Cowboy wa East Zoo (kimya kimya)
Kabla hujatingisha sema “uuh” kimya kimya

Ni nani anapiga honi si angepaki (kimya kimya)
Mwambie aache kelele nimesema mtu mzima
Hapa ni (kimya kimya) iwe Lex au Bima
Mbona huwa hawasemi kuwa hata pamba wanaazima

Chini juu (kimya kimya)
Mziki full (kimya kimya)
Tufanye nini kitakachoendana na mood (kimya kimya)
Kuna demu namaindi kwenda kumudi (kimya kimya)
Wapi stick niende nikacheze nae pool (kimya kimya)

Ila usimpe tungi sana mpaka akazima
Ukiona anaanza kurembua tu
Oil unapima
Ili uwe tambua ka ni bwawa au kisima
Kama imekaa pina ni mikasi kimya kimya

Shh kama vipi muombe key mtoto Mima
Hamna chumba cha wageni au soo (noma noma)
Demu ananisikilizia mimi yaani poa (kimya kimya)
Mwanachemba si unaona
Muda shaa unayoyoma

Usiwe na presha joh tumalize (kimya kimya)
Wala usimwambie kitu chill nae kimya kimya
Demu kadai soo usikonde mtu mzima
Ka vipi twende tumuage tutambae (kimya kimya)

Kama unataka kucheza basi cheza (kimya kimya)
Kama kupiga mitungi basi piga (kimya kimya)
Kuna demu umemzimia poa mfate (kimya kimya)
Hii ni pati ya kimya kimya
Kila kitu kimya kimya

Shh taratibu cheza (kimya kimya)
Shh mbona unaharibu cheza (kimya kimya)
Kama kinywaji kimeisha basi agiza (kimya kimya)
Kila kitu kimya kimya
Hii ni pati ya kimya kimya

Speed 120 yaani shaa (kimya kimya)
Pini zinaongozana mbele Benz nyuma Bima
Watu Shh
Wanabambia kimya kimya
Mpaka chumvini wanazama ile ile (kimya kimya)
Break ma Holiday Inn

Shh (kimya kimya)
Ka vipi tumeshafika paki gari (kimya kimya)
Ngoja mi nikacheki room (kimya kimya)
(Moe siti tapo-hit kwenye gari kimya kimya)
Nshalipia room kama vipi wewe zama
Yoyote akikuuliza we mzuge nimezima

Okay poa usiponikuta ujue shaa (kimya kimya)
Si unajua ile kichina?
Poa mtu mzima

Kama unataka kucheza basi cheza (kimya kimya)
Kama kupiga mitungi basi piga (kimya kimya)
Kuna demu umemzimia poa mfate (kimya kimya)
Hii ni pati ya kimya kimya
Kila kitu kimya kimya

Shh taratibu cheza (kimya kimya)
Shh mbona unaharibu cheza (kimya kimya)
Kama kinywaji kimeisha basi agiza (kimya kimya)
Kila kitu kimya kimya
Hii ni pati ya kimya kimya

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU