MISTARI YA WIMBO HUU

Sna Real
Mona Gansta
River Camp is in the building baby
Here we go

Wasambaa wamesambaa twende mdumange
Mapishi Pwani Kisiwani twende tumange
Makuruta akina Mura pale mguu pande
Kiboroloni Gulioni shimboni Mangi

Hii ni history making ni kuacha majina
Mzee Nguruma Bibi Titi Sista Carolina
Hii Sindimba Msondo Ngoma nini barelina
Vuka Bara tuko R tunapanga vina
Piga para suka nywele ama paka hina
Kiafrika namwagika wala hofu sina
Tuna move hii ni proof movie ya Sarafina
Iko wise ni watu white ni wezi black is deaf
Beautifully crazy
Chuga to Mtwara
Masai Mara
Makonde vinyago unyago si tohara
Counter si sonara
GMF FAP jina ni AR

Oloshoroo ngararumu ugali makande (yeah)
Batiki kanga kitenge kaniki (yeah)
Takwenya shimboni kamwene urewedi
Kiujamaa kama Azimio la Arusha
Oloshoroo ngararumu ugali makande (yeah)
Batiki kanga kitenge kaniki (yeah)
Takwenya shimboni kamwene urewedi
Kiujamaa kama Azimio la Arusha

Wasambaa wamesambaa twende mdumange
Mapishi Pwani Kisiwani twende tumange
Makuruta akina Mura pale mguu pande
Kiboroloni Gulioni shimboni Mangi

Ah
Mamangu ndo birthday yangu
Birthday yake ndo christmas kwenye maisha yangu
Now roger that
Roger Milla Lunyamila no ukabila
Acha mila ni uhai fly fly butterfly
Weupe hawatufai
Mdonyo mi mdonyo lengai nipe divai
Mwekezaji si anasa siasa nipe uhai mi mlipa kodi
I need a free body
Madaktari wauguzi kwenye kila wodi
Fanya ujamaa wa Kichaga kwenye kila jiji
sijui maktaba walimu ni kila kijiji
Mapolisi politicians
Time wana bargain like witch magician

Oloshoroo ngararumu ugali makande (yeah)
Batiki kanga kitenge kaniki (yeah)
Takwenya shimboni kamwene urewedi
Kiujamaa kama Azimio la Arusha
Oloshoroo ngararumu ugali makande (yeah)
Batiki kanga kitenge kaniki (yeah)
Takwenya shimboni kamwene urewedi
Kiujamaa kama Azimio la Arusha

Kunywa bia no dear ama bia lulu
No fear sina ubia kama Bulyankulu
Makuburu wakafeel na wakataa Kimbulu
Akili zikiwa nyingi ndo unakuwa huru

Wasambaa wamesambaa twende mdumange
Mapishi Pwani Kisiwani twende tumange
Makuruta akina Mura pale mguu pande
Kiboroloni Gulioni shimboni Mangi

Afikiri kuwa mkubwa tu ni kufungua zip
Kuwa mkubwa yamaanisha kuwa deep
Na drip ya ku run injili ya Mwana Yosefu
Na mwana Mariamu Jesus ni’feel safe
Napata free kuwa free free yourself
Na wakosefu ukiwahofu unawatukuza
Makofi hayawakuzi watoto yatawaumiza
Wassup

Oloshoroo ngararumu ugali makande (yeah)
Batiki kanga kitenge kaniki (yeah)
Takwenya shimboni kamwene urewedi
Kiujamaa kama Azimio la Arusha
Oloshoroo ngararumu ugali makande (yeah)
Batiki kanga kitenge kaniki (yeah)
Takwenya shimboni kamwene urewedi
Kiujamaa kama Azimio la Arusha

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI