MISTARI YA WIMBO HUU

Kiutani utani
Leo nashika namba moja
Utani utani
Tunavuka mpaka boda
Kiutani utani
Patashika kila kona
Utani utani
Mpaka nashangaa

Kiutani utani
Leo nashika namba moja
Utani utani
Kuanzia Afrika mpaka worldwide
Kiutani utani
Patashika kila kona
Utani utani
Mpaka nashangaa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU