MISTARI YA WIMBO HUU

Sajo
Mr. V.S
Call me Class yoh

Wagonjwa wanakufa hospitali hamna kitu
Penzi lako lina nyufa hugundulika huna kitu
Nchi imekuwa duka money inauza kila kitu
Ila usisahau kumbuka kuwa tunaacha kila kitu
Mjuaji utaungua na jua huwezi kujua kila kitu
Wenye nguvu anachukua na bado hawana kila kitu
Huwezi pendwa kila mtu au kuwa na kila kitu
Kuna roho mtakatifu na roho mtaka beef
Mabalaa na njaa ndo chanzo cha kila kitu
Acha kukaa watakukaa komaa na kila kitu
Maisha ni ujamaa bila uadui hamna kitu
Mtaani wanakata tamaa penye uongo kama usiku

Tunakomaa, struggle ku-survive
Pilika pilika everyday for life
Hamsha mitaa, komaa komaa
Uliokuwa chini acha kukaa hakuna miujiza ya kupaa
Mwenzangu na mie futa machozi usilie
Kama hukati tamaa nikiimba imba na mie
Now put your hands up, stand up
Fanya unachopenda
Dream come true mtu hajui anakokwenda

Zile shida nazijua tangu niko umri mdogo
Time niko shamba mi nakata tu magogo
(shida nazijua tangu niko umri mdogo
Time niko shamba mi nakata tu magogo)

Huku mtaa hakuna raha, furaha kidogo
Wengi wana chuki mi nawapaga kisogo
Kubali kutembea kwa mabonde na milima
Usikubali kupoteza ukapoteza mpaka heshima
Mziki bila noti, omba piga goti
Vingi tu unafanya na vingine ni mikosi
Maisha yetu hustle hard, mziki wetu hustle hard
Mungu kabariki tunaimba ‘Hustle Hard’
Nchi yetu hustle hard
Kula kwetu hustle hard
Uuhh hustle hustle hustle hard

Tunakomaa, struggle ku-survive
Pilika pilika everyday is yo for life
Hamsha mitaa, komaa komaa
Uliokuwa chini acha kukaa hakuna miujiza ya kupaa
Mwenzangu na mie futa machozi usilie
Kama hukati tamaa nikiimba imba na mie
Now put your hands up, stand up
Fanya unachopenda
Dream come true mtu hajui anakokwenda

Now here’s a funny thing
People will notice the change in your attitude toward them
But they won’t notice their behaviour that made you change
And if nobody can trust you, how can you trust you?
Ask yourself
Uh Mr. Inspiration is what the street calling me
And I inspire you, and you, and you, and you
To get up on your feet, be strong usiwe weak
Maisha yamebadilika usiamini hata rafiki
Life is a b*tch, watu wamekuwa masiki
Kama the walking dead, city is not safe
Unaweza kupoteza maisha yako mtu mwingine akatengeneza yake
Watch out

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI