MISTARI YA WIMBO HUU

Hmm
I wish ningekuwaga na mavumba
Mkwanja manoti
Nikuhonge vya thamani
Ama
Niwe fundi wa kuigiza ka’ Kanumba
Masanja Joti
Usiwe mbali nami
Hmm
My darling I need you love oh
Uwe nami haki ya Mungu nakupenda
Nobody can show you love oh
Usiwaamini ukishawapa wanakwenda

Oh
Basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni (iyelewi)
Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni (iyelewi)
Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)

Oh baby
Asa dansi nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru)
Oh baby
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)

Agah
Moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
Samehe mara sabini
Huo uzungu sijajaaliwa
Ungependa juu ama chini
Kwenye uvungu uparemiwa
Nikumbatie baridini
Kwenye tundu kama njiwa
Moyo wangu ni wa makuti
Usinijie na kibiriti (hasa we’)
Penzi likageuka chuki
Nyumba ikawa kibiti (hasa we’)
Nipatie vya kitandani
Nipe mpaka kwenye kiti (hasa we’)
Ili asiniingie shetani
Nawe nikaja kuku-cheat

Oh
Basi jilegeze
Nikubebe mgongoni (iyelewi)
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni (iyelewi)
Wakija wapoteze jifanye kama huwaoni (iyelewi)
Kisha uniongeze ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi)

Oh baby
Asa dansi nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Ololu Femi (kwa ngwaru)
Oh baby
Asa cheza nikuone (kwa ngwaru)
Wa Bami Jo (kwa ngwaru)
Basi cheza na mimi (kwa ngwaru)

Agah
Uataka kucheza chura na ingali umesimama
Ah inama inama
Asa waonyeshe
Ah inama inama
Unachezaje
Ah inama inama
Unataka maji ya kisima na mwoga kuchutama
Ah inama inama
Ebu waonyeshe
Ah inama inama
Unachotaje
Ah inama inama
Unataka kupiga deki wima umesimama
Ah inama inama
Ebu tuonyeshe
Ah inama inama
Unapigaje
Ah inama inama
Si unataka vya pool table sa’ mbona unajibana
Ah inama inama
Ebu tuonyeshe
Ah inama inama
Unalengaje
Ah inama inama

Wasafi Record
Oya wanangu wa kigogo (ah inama)
Nipe za Mose Iyobo (ah inama)
Vunja vunja kidogo (ah inama)
Ah niongeze mikogo (ah inama inama)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU