MISTARI YA WIMBO HUU

Hii ni Showbiz kali never seen before
Hatujali maaskari wala principal
Swing because Mbishi ana-flow calamity
Ngoma kama hii for my family
So much mad at me calm down homie
Nimwiite baharia atupe habari za mtoni
Company phoney haifai ku-hang nasi
Time ya ku-dance DJ bang that sh*t
Of course nimepanda dau
Wonder now gift Santa Claus
Mkasi haukunyoa rasta za Kubanda how
Kwa zulu na tai mh mdananda in da house
Manzi amenona ila mbona noma ana kona kona
Kama Mafikizolo vipi ntaweza pona
Wakina macho kuona wameshona kwenye kona
Ukikoroma goli la mkono dizaini ya Maradona
Bonjour don’t you wanna do kung fu
Twende Gwanzu kisha one-two one-two
One in a million mistari mingi pundamilia
Unju Bin Unuq is in a area
Heavily nawakilisha kama Heavy D
Don’t envy me the MVP
Nafanya kazi efficiently
At the end of the day the richest G Unju

Kwanini mimi ni eh
Nikifanya mimi wanashangaa
Wakifanya wao kila kitu sawa
Kwanini mimi ni mi eh
Nikifanya mimi wanashangaa
Wakifanya wao kila kitu sawa

Faithfully hapa ndio place to be
Hakuna kusanda nakaza toka A to Z
Mnaongelea akadumba Who’s Nay to me
Level fupi kama ni kimo Jermaine Dupri
Nikirudi habari husambaa kuwa dad is home
Nobody is gone hands up the party is one
Sifanani nao make no comparison
Nimetoka mbali and still safari’s long
Doctor Unju motherf*cker ndio huyu broadcaster
Mbegu kila kona mdudu Drosophila melanogaster
Michano fast track pay dough lay low say no
Mchawi anacheka nigga aki-stay broke
“Ulimwengu Ndio Mama” whats up Jay Moe
No more drama muhusika Mbishi ana-play role
I need the gays off my way kama King Zilla
Team Dangote sumu kwa team Chillah
Plus my dreams realer
No sniffing heroin nigga
Kichwa kikiuma kameze pain killer
Ukipata visa pasua anga
Underground giza hakuna mwanga

Kwanini mimi ni eh
Nikifanya mimi wanashangaa
Wakifanya wao kila kitu sawa
Kwanini mimi ni mi eh
Nikifanya mimi wanashangaa
Wakifanya wao kila kitu sawa

Nikki-Nikki Mbishi ana-flow calamity
(Eh nikifanya mimi wanashangaa
Wakifanya wao kila kitu sawa)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI