MISTARI YA WIMBO HUU

Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi
Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi

Dakika na saa zinapita
Eti kweli ndio umeshanitosa
Tetesi kila kona ya mitaa, eti we hunipendi!
Basi usiku nitakesha nikiwaza
Kama mchana jua kwangu litawaka
Walimwengu nini kwenu nimewakosea
Niacheni mwenzenu
Nalotaka ndilo nalo lifanya
Kwani wewe ndie nae kupenda
Sogea nikupe malezi, karibu mpenzi

Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi
Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi

Nikupe nini uwe wangu maishani
Dhahabu na marashi ni fashion
Labda gari, ukienda sokoni unicheki maskani
Nabaki na maswali kichwani
Sijui lini nitakuona mpenzi
Sogea karibu mpenzi nikupe malezi

Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi
Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi

We cheza nami kama unaweza wewe cheza nami
(Wakina dada gomeni wote cheza nami)
Hii ngoma sio mchezo
Masista duu na mabitozi kote wanajirusha
We cheza nami kama unaweza wewe cheza nami
(Wakina dada gomeni wote cheza nami)
Hii ngoma sio mchezo
Masista duu na mabito– kote wanajirusha

Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi
Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi

Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi
Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi

Nieleze, nieleze, nieleze upesi, oh oh
Nieleze, nieleze, nieleze upesi, oh oh
Nieleze, nieleze, nieleze upesi, oh oh
Nieleze, nieleze, nieleze upesi, oh oh

Mbona umesimamisha beat, Hermy B
Wacha niendelee bwana!

Ukweli ni kwamba, mimi ni baba na wewe ni mama
Na TID kwa jinsi navyokumaindi najitahidi
Kukueleza, kukubembeleza
Kaa utulie, au nilie Mbona hunielewi!
Sio siri natamani, japo ningekuwa na gari
Nyumba ya kifahari, basi alosto ningesema byebye

Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi
Kwa kweli nakupenda mpenzi
Kwa kweli mwenzio sijiwezi
Hivi kweli we bado hunielewi
Nieleze upesi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI