MISTARI YA WIMBO HUU

Mniache niseme na mpenzi ya moyoni
Nisiposema nikaseme na nani
Nataka kusema na wakwangu ya moyoni
Nisipomwambia nikamwambie nani

We ndo mpenzi wangu nae taraji uje kuwa mume wangu
We ndo mwenzangu unaejua ukweli na udhaifu wangu
Hifadhi pendo langu usije liacha litekwe na walimwengu
Dunia ya Mungu wapo wema wapo na wenye majungu

Mi nakupenda karibu moyoni mwangu
Ntakupenda kamwe hutojuta kuwa wangu
Nakupenda karibu moyoni mwangu
Ntakupenda kamwe hutojuta kuwa wangu

Mniache niseme na mpenzi ya moyoni
Nisiposema nikaseme na nani
Nataka kusema na wa kwangu ya moyoni
Nisipomwambia nikamwambie nani

Leo nataka kusema nawe
Leo nataka kusema na mpenzi wangu
Leo oh nataka kusema nawe
Leo nataka kusema na mpenzi wangu

Mpenzi mlezi darling baby
Lock me baby drive me crazy
Nataka penzi liendelee
Makosa yako nimesamehe
Hata dhiki itokee nipende mi sio pedeshee
Wacha snitches waongee
Twende beach uogelee
Nibariki huduma penzi nachopata nikugee
Mi ni rafiki pia ni mpenzi unachotaka njoo tuongee
Nivute kwako niwe wako
Nipite kwako mi ni wako
Penzi lako mwili wako
Roho yako nakuja kwako

Mi nakupenda karibu moyoni mwangu
Ntakupenda kamwe hutojuta kuwa wangu
Nakupenda karibu moyoni mwangu
Ntakupenda kamwe hutojuta kuwa wangu

Mniache niseme na mpenzi ya moyoni
Nisiposema nikaseme na nani
Nataka kusema na wakwangu ya moyoni
Nisipomwambia nikamwambie nani

Leo nataka kusema nawe
Leo nataka kusema na mpenzi wangu
Leo oh nataka kusema nawe
Leo nataka kusema na mpenzi wangu

Dayna Nyange talk to me
Just talk to me darling
Hahaha tulikwambia
Micharazo we taking over
Burn Records Sheddy Clever
I see you brother wuuuh

(Burn Records) I love you baby

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI